Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
hana pesa uyooo hana lolote alafu anasema tecno,wakati watu tunazungumzia iphone6 yaani man is hidebound" chukua iphone 6 kitu kinataka kulingana na bei ya gx100 au kiko bei sawa na vitz
ahaaaa !!! Mbaya zaidi kama una mchepuko bora usiende nayo maana ina kawaida ya kusema yaani ni noma hii cmm6????????
tetesi: eti nasikia hiyo simu kama ukiachia kitu cha yusuph a.k.a ushuzi wa kimiyakimya inasema 'hapa pamejambwa',kweli etiiiiii?
ila mzeeni cm ya ukweli iyoooView attachment 178291
nakwambia hiyo ni picha ila ukiitia mkononi utatia akili kali sanaSasa mbona wanaanza kulitanua? Au wanaiga Galaxy?
hana pesa uyooo hana lolote alafu anasema tecno,wakati watu tunazungumzia iphone6 yaani man is hidebound" chukua iphone 6 kitu kinataka kulingana na bei ya gx100 au kiko bei sawa na vitz
ahaaaa !!! Mbaya zaidi kama una mchepuko bora usiende nayo maana ina kawaida ya kusema yaani ni noma hii cm
au mchina uyo kama og au a haja kuingia jf mara kwa mara kitu on display mwanangu!!Jamani ivi mbona mi toka ninunue simu yangu hainiletei yale mambo ya "From my iPhone using jamii forums" kama wenzangu? Nifanyaje?
ilo ndilo uliloacha!!!Aisee kweli tunatofautiana, yani me nawaza home nitaacha nini ili wale wengine wanapromote simu za 6m. mY God wherever you are please bless me. inshalah
sasa iphone 5s ni 1.5milion iphone 5c 2.1milion iphone 5 1milion na 30000 iweje iyo iwe bei iyoHaiwezi kuwa mil 6 hata siku moja labda kama unataka iwe customized na madini kama gold etc. bei yake ita range kati ya mil 1 hadi 1.5
Bei zote izo zipo pale sapna au wewe mgeni na cm za bei mbaya
kwa hesabu hizo kwa wapi labda maporini na sio mkuranga
hizo ni bei za hovyo hovyo ktk duka la kawaida ila yapo maduka makubwa kama wakala wa iphone nchini mr !!!!Tuulize sisi tuliofika Kama hujui bei za viwanja tukupeleke instead ya kununua liability hiyo