Ujio wa EL NINO....

Ujio wa EL NINO....

Umeipata ile coneksheni ya lameki..??
Kwako mleta mada....
 
Nimeonyeshwa ndotoni hakuna mvua hiyo,bali kuna mvua za vuli na mvua za embe!
🛑 NATAKA MJE MNIKOSOE HAPA KAMA NASEMA UONGO 🛑
N.B,Pia mwakani yaani 2027 kutakuwa na uhaba wa mvua yaani zitanyesha chache mno!..
Tujiandae kupanda mazao yanayostahili ukame mapema!
#ITS A DREAMS ONLY,TAKE IT AS A JOKES....
#Naiota ndoto mapema sana 3-10-2026.
 
Maandaliz tyr ije tuu
 

Attachments

  • 1000099168.jpeg
    1000099168.jpeg
    132.4 KB · Views: 3
Sio vyote lakini vitatokea sehemu moja. Na kwa upande wa Afrika Mashariki mvua kubwa ndiyo kilichotarajiwa kutokea.

Inawezekana muda bado lakini mana ni ishu ambayo imetabiriwa duniani na sio Tanzania pekee
1977 unajua kilichotokea ? Watu waligoa mabati kwenda kubadilishana na chakula tena hapahapa tanzania
 
Sikuepo aisee. Labda uniambie ni nini kilitokea
Nimeeleza kuwa baadhi ya maeneo njaa ilikuwa kali kutokana na kiangazi kirefu , turudi tena mwaka 2016 ilipiga kidogo bei ya mchele na unga ilikuwa bei moja 3500 had 4000 hapo ulikuwepo ?
 
Back
Top Bottom