Ujio wa AfroIT mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujio wa AfroIT mpya

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kilongwe, Jul 22, 2010.

 1. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wana Jamiiforums na wapenda teknolojia kwa ujumla.


  Kujaribu bonyeza http://new.afroit.com

  Utengenezaji wa awamu ya pili ya website ya AfroIT umekamilika,leo hii tunawaletea hapa kwa majaribio na maoni ya wiki moja kabla haijakuwa rasmi.

  Ili kuweza kuhakikisha tunatoa huduma iliyo bora kwa watanzania,tumefanya mabadiliko makubwa kwenye website yetu kama ifuatavyo

  1.AfroIT TV(Utaweza kupata habari mbalimbali za ICT toka pande mablimbali za dunia na Nyumbani kwa undani humuhumu AfroIT)

  2.Podcast(ikijumuisha technology panorama na majadiliano ya kina na wana ICT)

  3.Interactive general post(hizi zitatoka kila sub category na kukufanya msomaji kupata kila kitu ndani ya sekunde na kwa ufanisi)

  4.Non redundant design(kwenye phase hii,hakuna kitu kinachotakiwa kujirudiarudia na kupoteza resources)

  5.Sociable (link za kushare,kumtumia rafiki nkhii itawawezesha wana AfroIT kugawana mambo mazuri na wale wanaowapenda au kuwajali)

  6.Subcription( Stay up to date na mambo mablimbali yanayotokea AfroIT,kuanzia news,technology,conferences nk,kwenye hiki kipengele utaweza kujichagulia nini unataka kuwa up to date nacho)

  8.Optimized Search(hii itatumika kwenye e learning ambapo utaweza kutafuta materials,videos nk ndani ya sekunde kwa urahisi zaidi,huitaji hata kuandika kitu)

  9.New look of Video page(tunawaletea Video page ambayo utapata kila kitu kwenye page moja,lengo ni kutomchosha mwana AfroIT kuzunguka sehemu mbalimbali)

  10.consistent layout ( Katika Phase II,AfroIT nzima itakuwa katika sura moja iliyoboreshwa zaidi,kuanzia mpangilio,rangi nk,hii ni kwenye blog,forums,main page,e learning,download nk)

  Maoni:
  INgawa timu nzima ya AfroIT imefanya kazi kubwa,ila hakuna kizuri kisicho na kasoro,maono ya kujenga ni muhimu either kwa ajili ya awamu ya tatu(Phase III) au hata hii iliyopo.Unakaribishwa kujaribu New AfroIT. KWa maoni unaweza tuma hapahapa au kutuandikia kwenye info@afroit.com au webmaster@afroit.com
   
 2. damtu2

  damtu2 Member

  #2
  Jul 24, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  website inavutia sana lakini naona mchanganyo wa lugha ya kiingereza na kiswahili umezidi, au haikuwezekana kuchagua lugha moja?
   
 3. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu tumekusikia na tunashukuru kwa maoni.Hili tatizo ni kubwa kwa jamii nzima hivyo hata sisi tumejaribu kuweka mambo kwenye uhalisia wake.Kama umeangalia elimu tuliyopata karibu yote ni kiswanglish hivyo ni ngumu kuepuka hili kwa siku moja.Tunakuhakikishia muda utatoa majibu.
   
Loading...