Wana jf heshima zanu, leo katika pita pita yangu kwenye net nimesoma uzinduzi wa 4g tigo hapo bongo katika maeneo ya mlimani na masaki, walio katika maeneo hayo na wameshatumia hiyo service watujuze kuhusu performance yake????
Okay, naona kila mtu anajifagilia. Kama ni hivyo basi.
Hapa kwetu msoga toka mwaka jana watu wanatumia Airtel kwa 8G. Tena Kikwete mwenyewe ndio aliizindua.
Mimi naona tigo wangefunga 3g kwanza ktk minara yao yote mijini na vijijini kabla ya kujitanua kwenda 4g.hapo dar penyewe internet ktk mtandao wa tigo ni mwendo wa kobe, any way ngoja tuwasubiri