hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Hapo ni baada ya rafiki zake kuangalia ujumbe facebook na wakagundua hiyo ilikuwa ni siku yake kuzaliwa wakaanza kumtafuta kimya kimya wakamkuta njiani wakaanza kuzoa matope na kumwagia na mwisho wa siku wakampa zawadi ya sh. 6000.
Na ukiwauliza wanasema hapo ndio amezaliwa upya.