Ujinga wa Watanzania...

Ujinga wa Watanzania...

Ommossani

Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
53
Reaction score
20
Naona watz wengi wanampongeza Magufuli kwa maamuzi aliyoyafanya Mhimbili bila kukumbuka nn aliahidi wakat wa kampeni!!!

~Nakumbuka alisema serikali yake haitomvumilia wala kumbadilishia kituo cha kazi mtumishi wa umma atakaekua ameharibu kituoni kwake bali ataadhibiwa ikiwemo kufukuzwa kazi.
~Sasa yule jamaa wa mhimbili aliyepelekwa wizarani kwann hajafukuzwa au hana kosa?
 
Kaka Mimi mwenyewe tangu Jana kichwa kinaniuna hilo swali sijui nimuulize Nani na sitapata jibu la kuniridhisha
 
Mi nafikir sio kila issue ya kukurupuka kumfukuza mtu kazi, it depends.
 
Mbona Hukujiuliza kwanin hakuwafukuza kazi wale wafanyakazi ambao hakuwakuta ofisin wizara ya fedha?!
 
Mi nilisikia kasimamishwa kazi na.pale kuna watu kama watatu hizi walitajwa labda nikapitie tenanile clip nawajue vzr
 
Kakuta mashine hazifanyi kazi kafukuza bodi nzima wakati hela za kutengeneza wanatoa wizara kupitia hazina. Sasa nashindwa kuelewa aliwafukuza kwa sababu ipi kisiasa ana kiutendaji
 
Hakuna kikubwa alichokifanya Magufuli mpaka hivi sasa.

Tatizo lililopo ni wepesi wa watu kuvutika na vitu vidogo vidogo mno.

Hivi ni kipi kikubwa alichokifanya hapo Muhimbili?

Leo mtu ukienda hutakuta wagonjwa wanaolala chini?

Mimi naziweka akiba pongezi zangu hadi hapo baadaye ili niweze kupata wasaa mzuri wa kupima utendaji wake na ule wa serikali yake.
 
Watanzania,huwa tunasifia mpaka tunauwa,kumbuka alivyo sifiwa kikwete mwanzo kabisa alipo ingia madarakani,mwakyembe,hata vipaji vya wachezaji wa mpira wa miguu nk, sifa zinauwa hasa sifa za kijinga,hakuna haja ya kusifia mtu akitimza wajibu wake,wakati wa ushabiki wa siasa umepita.
 
Back
Top Bottom