Tuliosoma primary miaka ya 90 kurudi nyuma hadi 80s, mimi nilisomea kijijini sana interior kweli kweli. Watoto wa walimu pekee ndo walikuwa wanavaa viatu vya raba (zile za kampuni ya Bora Shoe Company). Sisi wengine tulivaa katambuga, zile za matairi. Walimu walitusisitiza kuvaa viatu hapo walimaanisha hivyo vya tairi. Alafu watoto wa walimu uniform zao zilikuwa safi kila siku, sasa mimi nikawa najua watoto wa walimu huwa nguo zao hazichafuki. Alafu niliwaona kama wapo daraja lingine kabisa duniani.1.Nilipokua mdogo, nilikua naona watu wakubwa Wana Raha sana ktk Maisha wanafanya Kila watakacho. Baada ya kua mtu mzima mambo ni Tofauti.
2. Nilipokua mdogo nilikua najua Askali awafi....
3.Nilikua mdogo nilikua najua Nesi akikuchoma sindano Hapo Hapo unapona, pia Nesi akikuchoma sindano anakubembeleza.
4.nilipokua mdogo nilikua najua Watoto wanapatikana mwananyamala Hospital.
Dah🤣Nilipokuwa mdogo niliamini wazazi wetu wanaheshimiana sana na mama anamuogopa baba kama tunavyomuogopa sisi
bAada ya kuwa mkubwa na kuwa kwenye ndoa na kuona ndoa zingine nimegundua kumbe wazazi(baba na mama) wao wanadharauriana sana kuona mwenzie kama jinga poyoyo lisilo na akili
Nilipokuwa mtoto nilijua asali tuu ndo tamu, ila baada ya kukua na kuijua nyeto 🙌
Kwani Mkuu siku hizi watoto hawapatikani Mwananyamala hospital? Bado haijabadilika pia kuwa wakubwa wana raha sana, i.e kula aina ya mbususu ile roho inapenda hakuna wa kukupangia muda wa kurudi nyumbani labda kama umeshagawa sovereignty kwa kuoa au kuolewa.1.Nilipokua mdogo, nilikua naona watu wakubwa Wana Raha sana ktk Maisha wanafanya Kila watakacho. Baada ya kua mtu mzima mambo ni Tofauti.
2. Nilipokua mdogo nilikua najua Askali awafi....
3.Nilikua mdogo nilikua najua Nesi akikuchoma sindano Hapo Hapo unapona, pia Nesi akikuchoma sindano anakubembeleza.
4.nilipokua mdogo nilikua najua Watoto wanapatikana mwananyamala Hospital.
Kukuzidi wewe ndama.Kwani Mkuu siku hizi watoto hawapatikani Mwananyamala hospital? Bado haijabadilika pia kuwa wakubwa wana raha sana, i.e kula aina ya mbususu ile roho inapenda hakuna wa kukupangia muda wa kurudi nyumbani labda kama umeshagawa sovereignty kwa kuoa au kuolewa.
Ila yote kwa yote kiukweli ulikuwa ng'ombe sana
..nilipokuwa mtoto nilijua me na ke wote wana penis ila ya me ni ndefu zaidi, baadaye nikajua tofauti ila nilifikiri vagina imefichama maeneo ya kitovu1.Nilipokua mdogo, nilikua naona watu wakubwa Wana Raha sana ktk Maisha wanafanya Kila watakacho. Baada ya kua mtu mzima mambo ni Tofauti.