NANCA
Member
- Jun 23, 2023
- 92
- 100
Katika kitu cha kijinga kinachofanywa na watu wa siasa za upinzani na kuzifanya tetesi za kifo za kiongozi fulani au kifo cha kiongozi fulani kuwa siasa zao na kampeni zao.
Unamkuta mtu anampayukia Waziri Mkuu au Rais mitandaoni hata kumwita muongo na mbaya kuliko shetani eti kisa amesema kiongozi fulani yupo na anaendelea vizuri.
Huo ni ujinga, kukosa busara na kushindwa kuchagua kipi kiwe siasa zenu na kipi kiwe busara yenu. Huwezi kusema shetani ni mkweli kuliko waziri mkuu.
Kiongozi fulani anapokua ametutoka sasa hivi na tukadhibitisha, hatuwezi kutangaza on the spoti, lazima tujipe siku za kujiridhisha, siku za uchunguzi, siku za maandalizi na siku za taratibu za kiserikali hvyo inaweza kuchukua hata siku 10 mbele katika usiri mkubwa hadi wananchi kutangaziwa.
Pia Waziri Mkuu serikalini anaishi kwa protocol za kiserikali hawezi kutangaza bila kudhibitisha, na hata akidhibitisha mwenye mamlaka ya kutangaza kwa mtu wa nafasi ile ni rais na Kama ni mwingine basi hadi apewe ruhusa na rais mwenyewe.
Hivyo alichofanya Waziri Mkuu wakati wa Hayati Magufuli na labda anachofanya Sasa ni sawa na ni kipimo tosha kua waziri wetu ni mvumilivu, msikivu na mwenye busara nyingi sana tena mnyenyekevu na mwenye heshima ambae atatufaa 2031 baada ya Samia.