Ukiwatetea hao hao ndio watakaotumwa kwako kukupiga au kukudhalilisha bila ujira au kwa ujira mdogo sana. !! Mihogo bado inaendelea kulimwa sana !! Hakuna shida ya maisha!! Na Simba na Yanga zipo kwa ajili ya burudani !! Salaaleeh !!Kiufupi wapo wamekubaliana na umasikini wao, hawana habari na mambo sensitive ya nchi labda udaku na mpira.. Kuna watu walituita bunch of brainless
Ndugu yangu nadhani ndio unaamka kutoka usingizi ninaoweza kuufananisha na ule wa pono. CCM iliwekeza kiasi cha kutosha katika ujinga na kwa hapa Tanzania huo ni mtaji muhimu sana.Huu uzezeta wetu na ujinga utatukwamisha sana, na ndio sababu ya nchi kuto songa mbele na huu ujinga wa raia usipoisha hakuna changes zitatokea.
Mkuu MURUSI , kuna kitu kikubwa sana umekisema hapa leo, angalia sisi wenzako tulikisema lini!. Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance? na Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu? na Elections 2015 - Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance? na Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!Hakuna kitu kinawafurahisha watawala ka kuona kiwango cha uzuzu cha Watanzania
Huu uzezeta wetu na ujinga utatukwamisha sana, na ndio sababu ya nchi kuto songa mbele na huu ujinga wa raia usipoisha hakuna changes zitatokea.