[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazma upikiwe vinono ili usikimbie.Da Lu unavyojifagilia sasaaa
Hahaha Wachina wanasema "Urefu na Ufupi ni mipango ya Mungu, lakini Flat screen na wowowo ni juhudi zako mwenyewe"Kwa hiyo Tulio flat screen ndiyo wabaya? Msitufanyie hivyo mweee
Mtanzania halisiComment ziwe fupi tusichoshane kusoma jamani