Revola
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 1,542
- 1,365
- Thread starter
- #121
Ipo hivi mwanamke mrembo haijarishi uzuri wa kuzaliwa nao au wakuboost tuu hutokana na cosmetics anazoweka mwilini mwake (mekaps) na kumpa mwonekano maridhawa mbele ya macho ya watu lakini mwanamke MZURI ni yule mwenye uzuri asilia wa kuzaliwa nao na hahitaji cosmetics kuonesha uzuri wake huyu kila idara yuko poa sana sana.sasa hapa naongelea wale wazuri wa kuzaliwa na wakaongezea urembo wao (cosmetics) yani ukimuona inabidi utulie kwanza mkuu[emoji3]Nafikir huyu bwana ameshindwa kutofautisha wazuri na warembo. Nadhani anaongelea wale warembo