Ujinga Wa Mabinti Wanaojiona Wazuri

Ujinga Wa Mabinti Wanaojiona Wazuri

[emoji23][emoji23][emoji23] kuna wakati tunampenda mwanaume kweli lkn sometimes hatupendi tunaona bora hapa nimestirika na mm ni mke wa mtu.
Hahahah natamani nikuone ulivyo
 
Na sisi wabaya ni ving'ang'anizi balaaa hata kama mwanaume unamfumania mara ngapi bado tupogo tu humo humo madai sisi ni wavumilivu lkn tunafikiria mara 2 nani atanitaka sura yangu kama tafadhali nipigie, shepu yangu ya mgomba chini mwembamba juu mnene. Ndo maana hatuna maringo

[emoji12] [emoji13] [emoji1] [emoji2] ila kweli na mnakuwa ni wife material mkiachiwa elfu kumi inamaliza wiki.
 
Mbona wengi tu wazuri na hawapo hivyo...we utakuwa umenyimwa chiu...
Sory , HV unajua uzur anao uzungumzia hapa, ...hapa hatuzungumzii ....hawa wadada wanao force kuonekana wazur, wapaka make up hata wakienda sokoni ,hapa tumebase kwa wale first class, yan wale wazuri mpaka kero,.. nafkir umeelewa sasa[emoji3]
 
Na sisi wabaya ni ving'ang'anizi balaaa hata kama mwanaume unamfumania mara ngapi bado tupogo tu humo humo madai sisi ni wavumilivu lkn tunafikiria mara 2 nani atanitaka sura yangu kama tafadhali nipigie, shepu yangu ya mgomba chini mwembamba juu mnene. Ndo maana hatuna maringo

😀😀😀😀
 
Ndio ndio...na ufanye shopping ya kila kitu,hamna kutoka nje mpka jpil jion ukiwa unalisindikiza stend
Sasa toto kama hili ulisindikize stendi, ushindwe hata kulichukulia uber?! Ndio maana vijana mnakosa vitu vizuri mnabaki mnalialia
 
[emoji12] [emoji13] [emoji1] [emoji2] ila kweli na mnakuwa ni wife material mkiachiwa elfu kumi inamaliza wiki.
Mie nawapendaga halafu wamebakia wachache sanaa
 
Mabint namna hiyo huwa tunagegeda na kuacha. Mwanamke mjinga ni mzigo.
 
Sory , HV unajua uzur anao uzungumzia hapa, ...hapa hatuzungumzii ....hawa wadada wanao force kuonekana wazur, wapaka make up hata wakienda sokoni ,hapa tumebase kwa wale first class, yan wale wazuri mpaka kero,.. nafkir umeelewa sasa[emoji3]
mwanazuoni mgeni: well said aisee we umeelewa vzr sanaaa big up mkuu[emoji122][emoji122][emoji109]
 
Back
Top Bottom