Ujinga Wa Mabinti Wanaojiona Wazuri

Ujinga Wa Mabinti Wanaojiona Wazuri

1-Very Selective
2-Over Confidence
3-Able to lose no matter what
4-Wanaumizwa sana ila hawajifunzi
5-Hawajali wala hawaogopi kupoteza ama kupotezewa muda
6-Wamesahau kuwa uzuri wao unakoma, kesho tu tutawachukua wadogo zao.
7-Hawapendi kazi isipokuwa yakitandani
8-Wengi wao hawana busara
9-Kutoa majibu machafu kwao ni kawaida hata kama umemuuliza jambo la msingi
10-Dependent/tegemezi

NB:Kina dadaz wa jf muwe mnawakumbusha wenzenu wenye viwango ili twende sawaView attachment 826024


Sasa huyo chibonge ana uzuri gani ?
 
Na sisi wabaya ni ving'ang'anizi balaaa hata kama mwanaume unamfumania mara ngapi bado tupogo tu humo humo madai sisi ni wavumilivu lkn tunafikiria mara 2 nani atanitaka sura yangu kama tafadhali nipigie, shepu yangu ya mgomba chini mwembamba juu mnene. Ndo maana hatuna maringo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eti sura Kama tafadhali nipigiee
 
Na sisi wabaya ni ving'ang'anizi balaaa hata kama mwanaume unamfumania mara ngapi bado tupogo tu humo humo madai sisi ni wavumilivu lkn tunafikiria mara 2 nani atanitaka sura yangu kama tafadhali nipigie, shepu yangu ya mgomba chini mwembamba juu mnene. Ndo maana hatuna maringo
Da Lu namnafaa kuolewa coz mnamapenzi yakweli kabisaa
 
1-Very Selective
2-Over Confidence
3-Able to lose no matter what
4-Wanaumizwa sana ila hawajifunzi
5-Hawajali wala hawaogopi kupoteza ama kupotezewa muda
6-Wamesahau kuwa uzuri wao unakoma, kesho tu tutawachukua wadogo zao.
7-Hawapendi kazi isipokuwa yakitandani
8-Wengi wao hawana busara
9-Kutoa majibu machafu kwao ni kawaida hata kama umemuuliza jambo la msingi
10-Dependent/tegemezi

NB:Kina dadaz wa jf muwe mnawakumbusha wenzenu wenye viwango ili twende sawaView attachment 826024
mkuu mgeuze huyu
 
mkuu hili dude so mchezo,, unaweza telekeza familia hivihivi unajiona,,

hapa naweka kiwanja rehani,, nipe namba zake mkuu [emoji23] [emoji23]
tapatalk_1533312070850.jpeg

la kwanza na la pili unapigia nje, alafu la tatu ndo ivo
 
Back
Top Bottom