Ujinga wa bodi ya ligi ulianza pale walipopuuza malalamiko ya Simba

Ujinga wa bodi ya ligi ulianza pale walipopuuza malalamiko ya Simba

TFF na Bodi ya ligi walivyo vilaza wamepanga tarehe ya mechi ni tar 15 Mkapa stadium,Yanga uwanja wao wa nyumbani ni kmc complex na ukumbuke Yanga ni mwenyeji,je Yanga akienda kmc complex kua wao ndio uwanja wao TFF watasemaje ilhali mwenyeji ndio anae chagua uwanja?
 
Walichokifanya simba ni sinema tu. Waliona derby imekuja wakati mbaya kwao wakatengeneza sinema ili wakimbie mechi. Hizo zingine ni blah blah tu.

Wasiwasi wangu ni endapo na timu zingine zikaanza kutumia janja janja kama hizi. Je watapewa favor yankusogezwa game mbele kama waliyopewa simba? Kama jibu ni ndio, je tutakua ma ligi ya aina gani?.

Ni matumaini yangu mashabiki wa simba mtaziunga mkono timu zingine ambazo zitatumia loopholes za kikanini kukimbia mechi uko mbeleni
Hawa jamaa wajinga sana na wanatuharibia mpira
 
Mambo yalikua hivi
 
Attachments

  • Facebook Video _y1141880924330857_1746548219392.mp4
    4.4 MB
Waliandaa sinema iwe hivyo. Uwanja una management yake haiwezekani uende tu kwa kushtukiza bila kutoa taarifa.

Hata hivyo, haiwezekani kushindwa kucheza mechi kwa kukosa kufanya mazoezi ya nusu saa siku moja kabla ya mechi.

Suala la timu iliyopo ugenini kufanya mazoezi katika uwanja utakaotumika kucheza mechi lipo kidiplpmasia zaidi, kwamba wapate tu nafasi ya kuondoa uwoga wa ugenini. Lakini suala la mazoezi ya kimbinu na maandalizi kwa ajiri mechi timu inafanya kwenye uwanja wake rasmi wa mazoezi.

Na kama kulikua na tishio la usalama taarifa ilitakiwa kutolewa na polisi na document za kiofisi kusambazwa kwa timu zote.

Simba walitengeneza tu sinema kukimbia mechi. Kile kipindi walikua nanmajeruhi ya wachezaji muhimu, yanga alikua form na kulikua na mechi dhidi ya almasry mbele yao. Ni dhahiri ile derby simba angefungwa na kusingekua na mshikamano kuelekea mechi yao ya CAFCC, viongozi wakaona watafute sababu ya kukimbia derby
Wew jamaa kama nakuelewa hivi
 
Bodi ya ligi kupitia mwakilishi wao alitakiwa kutoa taarifa polisi ili kuwadhibiti wale wahuni.
Tusubiri taarifa ya uchunguzi huenda tukakutana na taarifa ya kamishina au afisa usalama wa mechi kuwa walitoa taarifa polisi na huenda zikapuuzwa.
Sasa unatarajia nini iwapo wahuni tu wanaojiita mabaunsa wanakuwa na nguvu mbele ya polisi,huu si ni mpango madhunuti ukiwa na viashiria vya siasa kuingizwa kwenye tukio hili ili kuifanya Yang's ifanikiwe kwenye ubabe wake wa kishamba?
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
Sasa kama ISMAILI RAGE anasema mashabiki wa simba wote mbumbumbu hii ina maana gani?
 
Kwa ujinga huu wa yanga itawachukua miaka mingi sana kufanya vizuri kimataifa, na wangekua kwenye ligi znazosimamia sheria wangekua wameshashushwa daraja siku nyingi kwa kupanga matokeo
 
Muda mwengine wazazi wako bora wangetumia condom tu usingezaliwa kuleta uharo hapa
 
Kabisa, pia Yanga haina msimamo ambao mwisho wake utakuwa na maslahi kwake zaidi ya kukaa meza moja na bodi ya ligi, kusema watakaza ili wakatwe point ni hasara kuliko kucheza hiyo mechi, unless CAS au FIFA waamue kuingilia.

Hili la kujiuzulu halina maslahi kwa Yanga linapokuja suala la kupata point 3 za mezani labda kusema waliwanyoosha hao viongozi.
Vipi wakicheza hiyo mechi na wakapoteza mche
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kabisa, pia Yanga haina msimamo ambao mwisho wake utakuwa na maslahi kwake zaidi ya kukaa meza moja na bodi ya ligi, kusema watakaza ili wakatwe point ni hasara kuliko kucheza hiyo mechi, unless CAS au FIFA waamue kuingilia.

Hili la kujiuzulu halina maslahi kwa Yanga linapokuja suala la kupata point 3 za mezani labda kusema waliwanyoosha hao viongozi.
Unapodai hutakiwi kuangalia hasara coz hutaweza tena kupambana na utaendelea tuu kuendeshwa
 
Hizi ni hisia za kitoto sana.
Kwa kiasi kikubwa mashabiki wa yanga huwa hamtumii akili bali huwa mnaishi kwa hisia na matendo yenu mengi hayatumii akili bali hisia ndio maana mlipeleka mashitaka CAS jambo ambalo hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa diploma ya sheria hawezi kulifanya
Ni wa kupuuzwaa...kwa sbb yule kipa namba 2 wa simba Ally Salimu hawajawahi kumfunga...wana uzuzu uliokubuhu
 
Simba walipoenda kufanya mazoezi,walikutana na watu waluojulikana kama mabaunsa.
Walitoa taarifa ya malalamiko yao siku ile ile.

Bodi ya ligi walikuwepo na walipaswa kupitia mwakilishi wao kutoa taarifa polisi ili wale wahuni wakamatwe.
Huenda walitoa taarifa polisi na huenda kwa sababu polisi nao ni mashabiki labda hawakuwakamata wale watu badala yake waliwasaidia kuwazuia Simba wasiingie uwanjani.

Katika hali ya kawaida huwezi kuacha uhalifu ufanyike kwa vile eti kuna adhabu iliyotamkwa kuuadhibu uhalifu huo.

Ni sawa unaona mtu mzima anabaka,halafu mbakaji anadai aachwe aendelee kufanya kitendo kile kwa vile sheria inasema atafungwa miaka 30,hivyo aadhibiwe tu kwa sheria iliyopo.

Hawa mabaunsa walikuwa wahalifu na walifanya vitendo vya ugaidi sio tu kuwazuia Simba kufanya mazoezi.
Iwapo Simba wangewaita mashabiki wao waje kuwasaidia kwa kuwa polisi wameshindwa kuwasaidia unadhani nini kingetokea?

Au mlitaka hadi mtu auwawe ndio mjue kulikuwa na tishio la amani?

Suluhisho: Mechi ichezwe lakini kila mtu amepata somo la kujifunza hasa kwenye kuepuka kuendekeza uhuni kwenye soka kama ule uliofanywa na mabaunsa wa yanga
Umemaliza kila kitu, sina la kuongeza
 
Back
Top Bottom