bro unajua watu wanakera na cjui ni kwa faida ganiPOLE SANA MKUU
**** wewe acha kunivuruga matako ya mbwa wewe kacheze na mamako wewe. Leta matako yako niyaonyeshe ujue punda mzee weweHebu dhibitisha kama wewe ni Me ili tusikwambia unakuja kike kike
wanajijua ndugu yangu na ukwel nataman kulisha mtu mangumi ila basi tuUngemtag aliyekwambia ili aje hapa ngumi zilike.
tunaelekea week end taratiiib kabisa
sikitika lakin usifeInasikitisha sana
kuna watu walishapanga kukutana sijui mburahati kama sikosei kwenda kuoneshana nani zaidi baada ya kuchuana jukwaani, sijui ilikuwa kweli au multiple IDsUngemtag aliyekwambia ili aje hapa ngumi zilike.
Multiple Id kama ilivyokua kwa story ya 7800 MaghalaR na cute lovekuna watu walishapanga kukutana sijui mburahati kama sikosei kwenda kuoneshana nani zaidi baada ya kuchuana jukwaani, sijui ilikuwa kweli au multiple IDs
Wale wa kupigana kabisaMultiple Id kama ilivyokua kwa story ya 7800 MaghalaR na cute love
Kuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari.
WADAU.
Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka ikafikia hatua tukawa wapenzi na kila mmoja akawa anatamani kumuona mwenzio. Hivyo tukapanga siku ili tuonane ili kila mmoja amjue mwenzie.
SIKU YA TAREHE 14-8-2019.
Hii ndiyo siku ambayo nilimtumia nauli dada huyo kiasi cha Tsh. 76,000/= ili atoke Mwanza na aje Dar ili tuweze kuonana. Na...
Waongo haoWale wa kupigana kabisa
yeah this one, jf ina mabedui kuna watu sasa hivi wanajifanya vichwa ngumu sasa hivi hawajui kuna waliopindaga na yao yalipita vilevileWaongo hao
Nimepita kwenye majukwaa mbalimbali, nimekutana na comment mbalimbali za watu wakitukanana matusi makubwa makubwa kisa tu wametofautiana/ kupishana kauli kidogo tu, imenichekesha nakunifanya nalia NALIA NGWENA nikumbuke tukio la mwaka juzi humu jamiiforums.
Ipo hivi, nilipishana na memba kwenye uzi Fulani wote tulikua wachangiaji kwenye ule uzi, mwenzangu alianza kunitukana, mwamba hapa matusi ndiyo mahala pake nilimpa makubwa yakutosha baada ya muda niliona app ya JF haifunguki kumbe nilipigwa ya siku 4.
Baada ya kutumikia kifungo nakurudi nafungua dm yangu nilikutana na matusi ya...
Kuna wadada humu walikua wanachamba na unawakuta kila uzi ila leo hii hawapo tena. So nisuala la muda tu wanapoteayeah this one, jf ina mabedui kuna watu sasa hivi wanajifanya vichwa ngumu sasa hivi hawajui kuna waliopindaga na yao yalipita vilevile