ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 952
- 1,873
Ujinga ni pale unapotumia fedha za Maendeleo ya Afya, Elimu, miundombinu, n.k kwa ajili yakununua Bajaj, halafu baadae unaenda kukopa na riba juu, kwa ajili ya maendeleo.
Ujinga ni pale unapokiuka misingi ya Demokrasia kwa mujibu wa Katiba, Kisha ukanyimwa misaada ya bure na na isiyo na Riba (free aid), Kisha kwa mbembwe ukawakejeli waliokunyima, eti hauzihitaji fedha zao na kwamba unajiweza, halafu baada ya muda ukarudi kulekule kukopa na riba juu.
"Ni mtoto tu hutupa pipi chini Kisha akalilia nyingine" Ntemintale.