Ujinga ni kuamini mambo haya


Ok. Na huyo Kwenye Display Photo ndio wewe ?

Ujinga ni kuamini kuwa mimi ni Mkenya. Wewe ni rahisi sana kutolewa kwenye reli, Ujinga ni kuamini kuwa wewe ni Mtanzania halisi
 
Hatuwezi kuwapa Nchi wapinzani hata siku moja.

Upinzani hawana msimamo hata kidogo.

Kule upinzani wamejaa wapiga dili watupu

Ujinga ni kuendelea kuamini kwamba Upinzani ni wapiga dili, huku dili fake zote zikipigwa na viongozi wa CCM

Ujinga ni kukubali kutawaliwa na FEAR of unknown juu ya Upinzani

Ujinga ni kuendelea kuamini kwamba maendeleo yataketwa na ccm ikiwa itaendelea kuwa madarakani ; bila ya kufaham kwamba hakuna nchi iliyoendelea kwa chama kimoja kutawala

Ujinga ni kushindwa kutambua kwamba maendeleo yataweza kuja endapo tu CCM itakuwa na hofu ya kupoteza kiti cha urais

Ujinga ni kuendelea kuwa Mjinga
 
Huja acha bado ujinga wako we mjinga....!!!
 
Ukweli ni kwamba, hatuwezi kuuza Nchi
 
Ujinga ni kuamini chadema itashinda
 

Ujinga nikuamini kwamba TISS ipo kwa maslahi ya Nchi

Ujinga ni kuamini kwamba TISS ina watu wenye uwezo wa hali ya juu

Diwani na wenzie sijui wanawaza nn
 
Ujinga mwengine huu hapa 👇👇

Alafu kinacho sikitisha waliofanya huu ujinga bado wapo kwenye chama na wengine nao wameomba wachaguliwe mwaka huu.Wao wenyewee hawajiamini ndio maana wakachukua hela mtu wa CCM na kumpa nafasi ya kugombea urais.

Watu nao mwaka huu wakaamua kufanya walichofanya wao 2015 ,kwa kumpa mtu wa CCM.
 

Na Mbowe alipiga Mpunga kweli kwa EDO Halafu akawatosa wenzie .

Kumbuka Lowassa kipindi hiko alikuwa hajui hata kuongea Vitu vikaeleweka lakini Mbowe the Opportunist alizunguka na Edo nchi nzima. Mwaka Huu Tundu very energetic and smart, jamaa kamuachia mshikaji mwenyewe

Ujinga ni kuamini kuwa Mbowe the Opportunist yu pamoja na Lissu.

Mwaka huu Lissu kazunguka nchi nzima pekee yake, hakuna support ya mwenyekiti, inawezekana vipi? Wakati hata Jk alikuwa akimpa support Ngosha.

Upinzani wetu ni wakipumbavu na Ngosha kafanya la maana kuwapa Discipline. Wote Out. Wengi ni wanafiki na hawapo real.

Bungeni kazi yao kugoma goma na kutoka nje , na wakitoka nje yanaenda kulala Hotel na kucheza games, night clubs , pombe na Uzinzi na kuvunjika viungo vya mwili.

Ngosha kawapa Displine. Nilikuja kuudharau upinzani walipo mpokea Edo , mara hii wamempokea yule stupid man mmwera who was playing their minds all the time, almost always.


Natamani Ngosha afute upinzani Wote tuanze moja. Futilia Mbali . Kila Uchaguzi Mbowe, Seif , ZZK, Lipumba ina maana hawa ndio smart kushinda wengine, watu wenyewe ni Mazeee.
 
Ujinga nikuamini kwamba TISS ipo kwa maslahi ya Nchi

Ujinga ni kuamini kwamba TISS ina watu wenye uwezo wa hali ya juu

Diwani na wenzie sijui wanawaza nn

TISS ina watu wenye uwezo; Ujinga ni kukubali DG wa TISS awe under Presidential appointment.

DG wa TISS akiwa under Presidential Appointment Maana yake ni lazima wawe incorporated Kwenye political affairs which makes it easy for him to obey orders and Instruction.

TISS Act ya 1996 iliyosainiwa na Benjamin Mkapa mwaka 1997, imeweka wazi majukumu ya kitengo cha TISS ambacho kabla ya mwaka 1996, kitengo cha TISS kilikuwa chini ya ofisi ya Rais until the act came into existence na kwa sasa inakuwa kama ni independent department( Under Cover) ikiwa na majukumu ya kumlinda Rais asiondolewe madarakani nje ya utaratibu wa kikatiba, mfano kupinduliwa.

Once it comes about Uchaguzi unaotambulika kikatiba, TISS wanapaswa kukaa mbali , kazi yao iwe ni ile ile to collect any intelligence ( sabotage, espionage, terrorism) which compromise our security, and submit to appreciate department for further actioning

Suala la ulinzi Kwenye uchaguzi ni kazi ya jeshi la polisi. Rais akishatangazwa, TISS watahamia kwa Rais Mteule Kumpatia ulinzi kwa mujibu wa kikatiba sheria.

Shida ni Katiba na Mamlaka aliyekuwa nayo Rais. Huwa napata wakati Mgumu sana mtu akimsifia Nyerere, eti the father of the National. My foot ! Alijenga katiba ambayo inaliangamiza TAIFA to the bones.

CCM OYEEE! JPM Forever
 
Ujinga ni kuamini kwamba mangufuli(Mtu mmoja) anaweza kuendesha hii nchi anavyotaka na wasengelema ( broka ass homies) wanamshangilia kw vigeregere na hawana kitu mfukoni, yan me siji kushabikia dhuluma hata siku moja
 
Hio ilikuwa mipango kazi ya kuivuruga upinzan.....nyie chichiemu mungu anawaona.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 

Nchi zote duniani, Ma DG wa taasisi za usalama wanateuliwa na Rais, kwa nchi zenye demokrasia makink hawana ujinga wa kama wa bongo.

Ninachokiona tatizo ni Kitengo cha ulinzi wa Rais kuwa chini ya TISS.

Ilitakiwa hiki kitengo kiwe kinajitegemea kama secret service na TISS inakua kama MI6.

Kwa mfumo huu, ni ngumu ccm kuondoka madarakani.

Na upinzani inabidi waje na mbinu nyingine nje ya uchaguzi
 
Hili ni ndilo tatizo la msingi na linatokana na na umasikini na mfumo wa elimu usiowaandaa vijana ku-reason kwa ufasaha. Wengi wao ni waoga, hawajiamini na wamejaa hofu kubwa. Suluhisho litapatikana pale itakapoongezeka idadi ya walioelimika kwa ufasaha, kuongezeka kwa tabaka lenye kujimudu kiuchumi na waliojiajiri na wenye exposure.

Umasikini na elimu duni ndiyo chanzo kikuu cha hali hii. Kote duniani watawala upenda kukandamiza na kutumia hila na nguvu kuendelea kutawala. Kwa hiyo km watawaliwa hawatabaini na kusimamia maamuzi yao kwa kuchagua watu ambao walau wata-balance maslahi ya pande zote 2, jamii hiyo itaendelea kuteseka.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…