Ujerumani: Tundu Lissu afanya mahojiano na kituo cha utangazaji Deutsche Welle(DW)

Mbunge wa Singida Mashariki Mhe Tundu Lissue Leo amevunja record ya kuangaliwa na watu millioni 417 duniani kwenye studio za Dw Ujerumani, kwa huyo record amekuwa mwanasiasa kutoka Africa kuangaliwa na watu wengi kuliko wote
Utakapoumia sana kiasi ukawa huyahisi tena maumivu, tambua kuwa maumivu yamepoa, yazike katika kaburi la 'sahau'... Songa mbele kwa hamasa.

Lissu ndo anachokifanya.....!!
Wazee wa mbogamboga...cjui ila huwa hawakosi cha kusema.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km walotaka muua ni kwa sababu za harakati zake kisiasa,niamini jamaa kwa anachokifanya sasa nje atarudi na hatafanywa chochote maana tunaishi kwa nguvu ya siasa na serikali za ulaya,
Lkn km ni majambazi wa kawaida sidhani km watawaza kurudia tena,warudie ili?
Lkn km walofanya ni kwa sababu za uadui labda hao wanaweza rudia lkn pia safari hii itawaghalimu maana serikali naamini inapata mbinyo wa kumlinda kuepuka kuchafuka vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu ni mtu timamu sana anachokifanya anajua matokeo yake na anaelewa kila kitachojili

Lissu sio mchele mchele kwamba ana manga manga huko nje pasipo sababu nooo haiko hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwege kashapoteza track hata hajui anafanya siasa kwa faida ya nani. Amejaa chuki kisasi na hasira. Atashirikiana hata na shetani ili kuidhuru nchi yake. Tayari anafanya mikutano na mashoga kuihujumu serikali ya tz wakati ulimwengu wote wanamsifu jpm kwa kuiongoza nchi vizuri na kuweza kupats mafanikio mengi katika muda mfupi.
Aliye jaa chuki nakisasi na hasira mbona huko wazi nchi hii. Jiwe anasifa zote hizo tens akizionyesha kwa vitendo kwa kutumia hela zetu. Usimnyang'anye cheo chake na kumtwisha asiye stahili. Nikama mbingu na ardhi.
 
Back
Top Bottom