ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,872
Utakuta mtu huyo anasomea diplomasia Kurasini.hivi ni china au japani?ulisomea shule gani mwenzetu?
Utakuta mtu huyo anasomea diplomasia Kurasini.hivi ni china au japani?ulisomea shule gani mwenzetu?
china nao wanavuta mpnga us kupitia lile atomic bomb
We jamaa hovyo kabisa.
mkuu wewe hujawahi kukosea au kusahau kitu
utakuta mtu huyo anasomea diplomasia kurasini.
china nao wanavuta mpnga us kupitia lile atomic bomb
acha dharau wewe kumbuka kuna kukosea hauwezi kukumbuka kila kitu...halafu china na japani ni nchi zilizo karibu na hata watu wake wanafanana sana kuanzia kimo hadi sura...
achana nao hao pimbi...wanajiona wako sawa hawawezi kukosea.
Wewe acha upumbavu China na Japan tofauti kabisa, kaeni mjifunze kabla ya kupost hakikini mnachokituma.acha dharau wewe kumbuka kuna kukosea hauwezi kukumbuka kila kitu...halafu china na japani ni nchi zilizo karibu na hata watu wake wanafanana sana kuanzia kimo hadi sura...
Kubali kosa , jifunze sio una mbwela mbwela.Siku nyingine natumai hautorudia kosa.Hamna mkamilifu lakini makosa mengine hayakubaliki sawa sawa useme Majimaji imepiganwa Kenya na Maumau imepiganwa na Wamatumbi Tanzania.kuna watu humu mkuu ni kama wanajiona malaika
Nilikaa na mchina mmoja Dar nikamwambia mnafanana sana. Naye alinijibu kuwa hata sisi weusi tunafanana sana[/QUOT
umewahi kumuona mchina mweusi?