David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,120
- 6,787
Wewe acha upumbavu China na Japan tofauti kabisa, kaeni mjifunze kabla ya kupost hakikini mnachokituma.
wewe Ndio mpumbavu kwanini usingemuelewesha pale alipo kosea? badala yake mmeanza kumkejeli 'eti atakuwa amesomea diplomasia pale kurasini'.
Acha hizo ndugu yangu kukosea kupo na hata wewe utakuja kukosea.
acheni kejeli zenu, mtu akikosea mrekebishe.