Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Hii ni fundisho kuwa ugomvi usio kuhusu usiuvalie kibwebwe.Ndo shida ya kuingilia ugomvi usiokuhusu.
Hivi ujerumani alkua na ugomvi gan na RUSSIA mpk nae ashiriki kumpiga SANCTIONS...
Kwani Russia inawapa ulaya gesi na mafuta bure inauwauzia, ulaya kugoma kununua gesi na mafuta itawaumiza wananchi wake na pia urussi atapata hasara sababu mapato yake mengi yanatokana na gesi na mafuta tuacheni ushabiki wa kitotoUrusi ndio taifa la kwanza kuwaumiza Wamagharibi kwa vikwazo vyao wenyewe.
Hongera Putin.
Kivip yaani Kwan Russia inawapa ulaya gesi na mafuta bure sababu umecomment as if anawapaga ulaya gesi na mafuta bureWalidhani wamemuweza saaa kamasi linawadondoka
Logic hapaKivip yaani Kwan Russia inawapa ulaya gesi na mafuta bure sababu umecomment as if anawapaga ulaya gesi na mafuta bure
Lengo la vikwazo ni kuiumiza Urusi, siyo wao.Kwani Russia inawapa ulaya gesi na mafuta bure inauwauzia, ulaya kugoma kununua gesi na mafuta itawaumiza wananchi wake na pia urussi atapata hasara sababu mapato yake mengi yanatokana na gesi na mafuta tuacheni ushabiki wa kitoto
Ni mapema sana kuhitimisha kwamba ulaya ameumia au urussi, mda ndo utakaoongea (in long run)Lengo la vikwazo ni kuiumiza Urusi, siyo wao.
Kwahiyo wanapoumia na wao maana yake lengo halijafanikiwa - ime-backfire.
Shida sio kuwapa bure, shida ni vikwazo walidhani yeye ndiye atapata tabu peke yake, sasa kawakomesha either wanunue kwa kutumia pesa yake au hauzi. Wamelianzisha sasa wanacheza ngoma yakeKivip yaani Kwan Russia inawapa ulaya gesi na mafuta bure sababu umecomment as if anawapaga ulaya gesi na mafuta bure
Wanajifanya hawajui hili,wewe waache hawajui kwamba hii issue itawaumiza Ulaya in short-term but in long-term inakula mazima kwa Urusi.Kwani Russia inawapa ulaya gesi na mafuta bure inauwauzia, ulaya kugoma kununua gesi na mafuta itawaumiza wananchi wake na pia urussi atapata hasara sababu mapato yake mengi yanatokana na gesi na mafuta tuacheni ushabiki wa kitoto
Putin alijipangaje? Hujui kwamba hili swala litawaumiza Ulaya in short-term but in long-term Urusi ndio atakiona cha moto maana wataacha kununua gas yake mazima.Logic hapa
-ulaya na us wanaiwekea vikwazo Urusi including vya kifedha ikiwemo Ruble
-Urusi anasema anauza Gesi yake kwa ruble tu
Hii ina maana ili ulaya wapate Gesi inabidi wale matapishi yao.
Angalia thamani ya Ruble ilivyopanda Sasa hivi inacheza around 80 vs usd zamani ilikua 140 baada ya vikwazo.
Putin alijipanga sana, ulaya walikurupuka.
Sisi hatujaweka vikwazo na hatuna uwezo huo ila sasa hivi lita moja mafuta ya kula ni 8000. Kufikia juma lijalo yatakua 9000 au 10,000.Ndo shida ya kuingilia ugomvi usiokuhusu.
Hivi ujerumani alkua na ugomvi gan na RUSSIA mpk nae ashiriki kumpiga SANCTIONS.
Angalia Sasa wajerumani wanaishi kwa tabu kwasababu ya viongzi wao kua vibaraka wa USA na kupelekeshwa ovyo.
Pongezi kwa TANZANIA kutokufungamana upande wowote, japo kias chake tunaathirika[emoji4][emoji106]
Upeo wa watanzania wengi ni mdogoWanajifanya hawajui hili,wewe waache hawajui kwamba hii issue itawaumiza Ulaya in short-term but in long-term inakula mazima kwa Urusi.
Wewe unadhani Ulaya hawakujua hili la Gas na mafuta kuwa litawapa shida kwa muda fulani but in long run watakuwa wamejiondoa kwenye utumwa wa Gas ya Russia? Kwanza hata leo wakiamua kupata mbadala wanao ambao ni Makaa ya Mawe halafu tuone hiyo Gas Urusi atamuuzia nani.Lengo la vikwazo ni kuiumiza Urusi, siyo wao.
Kwahiyo wanapoumia na wao maana yake lengo halijafanikiwa - ime-backfire.