Serikali ya CCM kwenye Architectural design hamna kitu, wanachojua ni kujigamba tu wametumia mabilioni ya pesa kwenye miradi yao ila sura za majengo bora angepewa hata fundi maiko, Ikulu ya Dodoma walishindwa kuja hata na ramani tofauti wakaamua kufanya copy and paste ya Magogoni!