Ujenzi wa reli Isaka - Mwanza unaendeleaje?

Ujenzi wa reli Isaka - Mwanza unaendeleaje?

Joined
Feb 4, 2021
Posts
8
Reaction score
6
U hali gani wapendwa,

Mwenye taarifa za kinachoendela kwenye mradi wa reli kuanzia isaka tabora hadi Mwanza maana imepita miezi miwili sasa tangu wasaini mkataba na serikali.
 
Umeshakamilika kwa 70%,mwezi wa 11 tutaweka testing radar+kiberenge+electrolysis ili kutest strength za mataruma.

Asante.
 
Back
Top Bottom