Ujenzi wa mahandaki: Mradi wa SGR Morogoro - Dodoma - Singida

Tanzania Railways Corp

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
251
595
Picha ikionesha hatua mbalimbali za ujenzi wa Handaki namba mbili unaoendelea eneo la Kilosa Mkoani Morogoro katika kipande cha pili cha Mradi wa Ujenzi wa Reli ya kisasa - SGR Morogoro - Dodoma - Singida.

ERec2o2XUAEqrge.jpg
ERec2o3XUAYfwp4.jpg
ERec2ovW4AICa2a.jpg
ERec2ozX0AAPMLp.jpg
ERfNQGAWoAAeSrq.jpg


Muonekano wa Kambi ya Ujenzi wa Reli ya Kisasa iliyopo eneo la Ihumwa mkoani Dodoma. Kambi hii inatarajiwa kuwa kambi kubwa zaidi ya Mradi huu kuanzia Dar es Salaam - Morogoro - Dodoma - Singida

IMG_20200221_181428.jpg
IMG_20200221_181430.jpg
IMG_20200221_181432.jpg


Moja ya Madaraja makubwa yanayojengwa katika Mradi wa SGR kipande cha Morogoro - Dodoma - Singida

IMG_20200221_181545.jpg
 
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi Wale wasaliti wa Nchi wataficha wapi sura zao
 
Back
Top Bottom