Ujenzi wa madaraja Ukerewe ni majipu

Ujenzi wa madaraja Ukerewe ni majipu

mfungwa

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Posts
1,294
Reaction score
345
Mkuu wa wilaya ukerewe unaombwa uangaze suala hili na ufuatilie mwenyewe.
Na pia likianza ufa nk....likarabatiwe maramoja.
Yaani kinachofuata likiharibika ujenzi wake hadi miaka kadhaaa.
Mfano mzuri ni hili BWASA...KAHAMA...MUHULA(MLEZI).
P_20180124_133523.jpg
P_20180124_133324.jpg
 
Mhuuu uandishi gani huuu. Unakimbizwa au?????? Tulia uandike kitu kinachoeleweka au ulinyimwa tender
 
Back
Top Bottom