City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 3,795
- 4,240
Sidhani kama watakuelewa mkuu.Mkuu nondo katika ujenzi wa nyumba za kawaida ni fito kwa lugha nyingine.
Kama fundi kanyoosha msingi na ukuta ukapanda bila kupinda, nondo 2 za mm12 zinatosha.
Tumdanganye nini wakati tuna uzoefu huo kama wamiliki wa majengo!?
Uyafahamu ili iweje!?majengo gani ambayo una miliki wewe. Ambayo umeweka linta nondo mbili?
Aisee hiyo imezidi sanaIpo kwetu ina nondo moja tu.
umeona nondo ni urembo katika nyumbaMbona hata mbili zinawekwa tu mkuu lakini ziwe za 12 mm
Acha ubabaishaji hapa, mondo Tatu zinafaa kabisa ili mradi nyumba iwe imefungwa mkanda kwenye msingi!Kitaalamu haufai kabisa.
Kwa sababu hiyo lenta(linta) ndiyo inapokea mzigo kutoka juu na kuleta msawazo wa jengo lako. Kwa sababu linta inapokea mzigo inatakiwa iipokee kwa usawa.
Kwanza kazi ya nondo ni nini kwenye linta??
Kazi ya nondo kwenye linta ni kuzuia kani(force) za mvutano ndani ya jengo lako!
Kwa nini sasa nondo tatu hazifai??
Ni kwa sababu standards zinashauri nondo lazima zifungwe symmetrically arranged. Ili zinapopokea mzigo na kuusambaza uwe sawa sawa.
Nondo tatu siyo symmetrically arranged. Sasa mzigo ukizidi kudogo tuu, jengo unaanza kuliona limeeanza nyufa na hata hiyo linta unaanza kuiona inapinda.
Suluhisho!
Ongeza nondo nyingine ziwe nne ili angalau ulete msawazo wa upokeaji wa mzigo na usambazaji wake.
Pia weka na nguzo kwenye kila kina na maungio ya jengo lako (kama ni nyumba kubwa na unataka idumu muda mrefu).
Ila kama ni banda tuu, komaa na aina ya ujenzi wako. Ila kama ni dream house, fuata hako kaushauri.
Sisi tunafungia NONDO 1 hata 10mm inatosha na nyumba inakaa huoni ufa
Tunaweka zile zenye upele upele ...sementi kaliDuu hii inahitaji moyo, ni zaidi ya kubana matumizi hii.
Tatu afadhari sasa mbili zinawekaje Ballance ya kubeba mzigo?3 zote hizo wengine mbili tu.
Tatu afadhari sasa mbili zinawekaje Ballance ya kubeba mzigo?
Tunaweka zile zenye upele upele ...sementi kali
Acheni uongo nondo mbili zinawezaje kugawanya mgandamizo na kustahimili kani ya nguvu ya mzigo?Mbona hata mbili zinawekwa tu mkuu lakini ziwe za 12 mm
Aisee yajayo yanafurahishaIpo kwetu ina nondo moja tu.