Ujenzi wa kisasa, paa linapotangulia

Ujenzi wa kisasa, paa linapotangulia

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,486
Reaction score
1,451
1745751134433.png


Kifuatacho hapo ni tofali za udongo, kubwa kuliko block za cement za kawaida. Kwa asilimia 99, tofali hizi hukaa muda kidogo, hivyo kutokuwa na uimara wowote.
Upepo mkali ukija, mara nyingi huondoka na paa, na raia hulalamikia serikali kukumbwa na maafa.

Je, ujenzi wa wazi kama huu, viongozi wakiwa na taarifa, nani wa kulaumiwa?
 
Back
Top Bottom