Ujenzi wa kiafrika

Mnyiramba

JF-Expert Member
Jun 19, 2022
1,112
2,957
Ni jambo la kijinga sana kujenga nyumba ya thamani kuanzia milioni 40 na ndani ukashindwa kuweka thamani za kueleweka!

Unakuta nyumba haina Air condition (AC), ama heater kwenye sehemu za baridi kali!,nyumba haina hata cctv camera ukiibiwa unakimbilia kwa mganga kupiga ramli!

Nyumba haina tv na sound za kisasa!

Nyumba ina visofa uchwara vya miaka nenda rudi!

Kwangu mimi ni bora nijenge nyumba ya gharama za kawaida sana ila ndani iwe na huduma zote muhimu za kibinadamu yenye hadhi ya hotel ya nyota kadhaa!

Tujifunze kwa mabeberu nyumba unakuta mbaya kimuonekano ama ya kawaida kabisa ila ndani ni very comfortable!

IMG_1728.jpg

IMG_1729.jpg
 
Kipindi hiki ndio tunaona umuhimu wa Ac..na huu umeme nao dah!
 
Ni jambo la kijinga sana kujenga nyumba ya thamani kuanzia milioni 40 na ndani ukashindwa kuweka thamani za kueleweka!

Unakuta nyumba haina Air condition (AC), ama heater kwenye sehemu za baridi kali!,nyumba haina hata cctv camera ukiibiwa unakimbilia kwa mganga kupiga ramli!

Nyumba haina tv na sound za kisasa!

Nyumba ina visofa uchwara vya miaka nenda rudi!

Kwangu mimi ni bora nijenge nyumba ya gharama za kawaida sana ila ndani iwe na huduma zote muhimu za kibinadamu yenye hadhi ya hotel ya nyota kadhaa!

Tujifunze kwa mabeberu nyumba unakuta mbaya kimuonekano ama ya kawaida kabisa ila ndani ni very comfortable!

View attachment 2402298

View attachment 2402299
Waafrika tunajenga nyumba, hatujengi makazi bora
 
We nawe unaonekana kipato chako cha mashaka sana. Nyumba ya M40 Dar es salaam sio nyumba ya hadhi ni gofu tu la kawaida.

Ujenzi wa Dar ni gharama sana. Labda kama hujawahi kujenga
 
Ni jambo la kijinga sana kujenga nyumba ya thamani kuanzia milioni 40 na ndani ukashindwa kuweka thamani za kueleweka!

Unakuta nyumba haina Air condition (AC), ama heater kwenye sehemu za baridi kali!,nyumba haina hata cctv camera ukiibiwa unakimbilia kwa mganga kupiga ramli!

Nyumba haina tv na sound za kisasa!

Nyumba ina visofa uchwara vya miaka nenda rudi!

Kwangu mimi ni bora nijenge nyumba ya gharama za kawaida sana ila ndani iwe na huduma zote muhimu za kibinadamu yenye hadhi ya hotel ya nyota kadhaa!

Tujifunze kwa mabeberu nyumba unakuta mbaya kimuonekano ama ya kawaida kabisa ila ndani ni very comfortable!

View attachment 2402298

View attachment 2402299
Waafrica tunajenga eneo ya kujihifazi tuu, na ndo wengi wanafanaya hivyo.
 
Hizo samani unaeza nunua taratibu taratibu acha mbona haina shida..sio lazima ununue kila kitu sku moja
 
Back
Top Bottom