Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

Ni jambo jema kutawanya fursa za uchumi,afya.Chato ni strategic location vizuri pajengwe bandari kubwa ziwa Victoria na tawi reli ya kisasa,kusupport mizigo Kanda Magharibi, Chuo cha usafirishaji kijengwe Chato pia,rejea bilion 100... za Wachina 12Feb 2018 Uganda pia inapunguza unbali kama 150 Mza- Entebe Uganda.Hongera JPM.
 
Unabeza! Eti? Lakini itapendeza maana itapunguza watu kwenye miji mikubwa ambayo ina taabaika kuwahudumia. Ni jambo jema sana. Pia uchumi utatawanywa kwa watu wengi zaidi.
 
Ivi pesa za sirikali utaratibu wa kutumia ukoje? Natamani kuisha chato kwa mliofika life vipi? Uko
 
Hahaha nchi hii ina maajabu mengi. Kingunge alifia ICU muhimbili, Ndugai anatibiwa India, wastara kachangiwa mil 37 sasa anatibiwa india.TRA inakusanya bilioni 7 kila mwezi
Miradi ya maendeleo tunakopa WB, pesa ya budget tunasaidiwa na wahisani, madeni yetu tunaomba kusamehewa.
 
Ni jambo jema kutawanya fursa za uchumi,afya.Chato ni strategic location vizuri pajengwe bandari kubwa ziwa Victoria na tawi reli ya kisasa,kusupport mizigo Kanda Magharibi, Chuo cha usafirishaji kijengwe Chato pia,rejea bilion 100... za Wachina 12Feb 2018 Uganda pia inapunguza unbali kama 150 Mza- Entebe Uganda.Hongera JPM.
Kuna wanaopinga haya mambo lakini utagundua ni kwasababu wengine hata jiografia ya nchi yao hawaielewi i.e ni kwanini eneo kama hilo kuwekwa baadhi ya huduma fulani fulani. Kwa ujumla ukanda wetu wa A. mash unatuhitaji sana kufikilia namna ya kuyatumia maeneo yanayopakana na mipaka ya nchi jirani upende wa kask kuanzia Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi, Sudan n.k
 
Back
Top Bottom