Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,831
Wako slow sana hawa jamaa, ingekuwa wamefanya huu uzembe huko kwao Japan, wangeshanyongwa hawa!
Huna exposure mkuu na wala hutaki kujifunzaKuna haja ya kutoa elimu pana ya flyover ama waangalie kilichojengwa Nairobi ni sawa hata na robo na huto tutaraja twetu.
Naamini hata lile daraja la intersection ya watembea kwa miguu pale Ubungo tunaambiwa ni flyover ila cha ajabu la Manzese hawaiti flyover!!
serikali yetu hapa imejitahidi big up kwaoHuna exposure mkuu na wala hutaki kujifunza
hao unaowatolea mfano, bado flyover zao za kuweka tofali huku na huku tena kwny elevated area...
Hiyo Tazara ni purely flyover...
Daraja la manzese ni kwa ajili ya kuvukia watembea kwa miguu, flyover ni daraja pia lakini kwa ajili ya magari ku over pass through highway au barabara tuu ya kawaida
Ubungo Interchange ni habari nyingine mkuu... Ile ni ngumu kumeza tusubiri ikianza kuleta shape ndo utapata wasaa wa kutofautisha kati ya hizo terms
Maelezo murua kabisa mkuu asante.Huna exposure mkuu na wala hutaki kujifunza
hao unaowatolea mfano, bado flyover zao za kuweka tofali huku na huku tena kwny elevated area...
Hiyo Tazara ni purely flyover...
Daraja la manzese ni kwa ajili ya kuvukia watembea kwa miguu, flyover ni daraja pia lakini kwa ajili ya magari ku over pass through highway au barabara tuu ya kawaida
Ubungo Interchange ni habari nyingine mkuu... Ile ni ngumu kumeza tusubiri ikianza kuleta shape ndo utapata wasaa wa kutofautisha kati ya hizo terms
Wanacontract ya kumaliza ujenzi mwezi Octoba,2018 ingawa Mhe. Rais aliwaomba kama wataweza wamalize Juni,2018.Wako slow sana hawa jamaa, ingekuwa wamefanya huu uzembe huko kwao Japan, wangeshanyongwa hawa!
We unavyoliona linaisha mwaka huu lile?Wanacontract ya kumaliza ujenzi mwezi Octoba,2018 ingawa Mhe. Rais aliwaomba kama wataweza wamalize Juni,2018.
Kwahiyo they have at least 7 Months remaining!
Probably, kazi kubwa imekwishafanyika labda kuwe na changamoto za kuwakwamisha hasa za kifedha ingawa pesa nyingi ya mradi inatoka JapanWe unavyoliona linaisha mwaka huu lile?
hahaaaaaKuna haja ya kutoa elimu pana ya flyover ama waangalie kilichojengwa Nairobi ni sawa hata na robo na huto tutaraja twetu.
Naamini hata lile daraja la intersection ya watembea kwa miguu pale Ubungo tunaambiwa ni flyover ila cha ajabu la Manzese hawaiti flyover!!