Ujenzi wa Fly Over ya Tazara umefikia hapa

Hlo jengo hapo pembeni halivunjwi? Naona lipo karibu sana kuliko la sconeta
 
622868e885ae0e17fb69bc68314ece66.jpg
 
Kuna haja ya kutoa elimu pana ya flyover ama waangalie kilichojengwa Nairobi ni sawa hata na robo na huto tutaraja twetu.

Naamini hata lile daraja la intersection ya watembea kwa miguu pale Ubungo tunaambiwa ni flyover ila cha ajabu la Manzese hawaiti flyover!!
 
Huna exposure mkuu na wala hutaki kujifunza

hao unaowatolea mfano, bado flyover zao za kuweka tofali huku na huku tena kwny elevated area...
Hiyo Tazara ni purely flyover...

Daraja la manzese ni kwa ajili ya kuvukia watembea kwa miguu, flyover ni daraja pia lakini kwa ajili ya magari ku over pass through highway au barabara tuu ya kawaida

Ubungo Interchange ni habari nyingine mkuu... Ile ni ngumu kumeza tusubiri ikianza kuleta shape ndo utapata wasaa wa kutofautisha kati ya hizo terms
 
seri

serikali yetu hapa imejitahidi big up kwao
 
Maelezo murua kabisa mkuu asante.
 
Wako slow sana hawa jamaa, ingekuwa wamefanya huu uzembe huko kwao Japan, wangeshanyongwa hawa!
Wanacontract ya kumaliza ujenzi mwezi Octoba,2018 ingawa Mhe. Rais aliwaomba kama wataweza wamalize Juni,2018.
Kwahiyo they have at least 7 Months remaining!
 
Kuna haja ya kutoa elimu pana ya flyover ama waangalie kilichojengwa Nairobi ni sawa hata na robo na huto tutaraja twetu.

Naamini hata lile daraja la intersection ya watembea kwa miguu pale Ubungo tunaambiwa ni flyover ila cha ajabu la Manzese hawaiti flyover!!
hahaaaaa
 
Back
Top Bottom