Bintiwangara
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 551
- 287
We kwani ni injinia?
Experience ya mambo ni muhimu zaidi hata ya kuyasomea na hasa huku kwetu Africa.We kwani ni injinia?
Kwani Lowassa kipaumbele chake ni elimu peke yake? Kwahiyo watu wa bodaboda, machinga na mama ntilie wanatapeliwa?HIVI VIPAUMBELE VYA MAGUFULI NI NINI?
mbona kuna vitu vingi sana visivyoeleweka, ambavyo havina mahesabu??
JE NI
- fly over?
- Elimu ya bure?
- kuboresha mishahara ya wafanyakazi wa serikali?
- mil 50 kila kijiji/mtaa?
- Afya?
- viwanda kila mkoa?
- usafiri wa anga (ATC)?
- Reli ya kati?