Usikariri ndugu yangu Umewahi kujiuliza kwanini Mpaka leo Majengo hayajakabidhiwa kwa Rais...na ilikuwa akabidhiwe mwanzoni mwa JanuaryMnachokifanya ni ushabiki wa kipumbafu na chuki ya chochote anachokifanya Rais, ww huna kazi ya kufanya hadi ukafanye valuation ? Acheni kutumika kisiasa na sidhani kama ww una hiyo fani, fanyeni shughuli zenu hayo mambo mengine acheni serikali ifanye na ina wataalam wakutosha kama kutakuwa na tatizo basi itajulikana
Geologist anambishia Engineer. Mathematician anambishia Medical Doctor. Mambo ya kitaalam.Nyie ndio mliozoea zile enzi za JK,
Kwani waliopokea hiyo kazi hawajui hayo unayoyasema?
Tusubiri wakamilishe then ukaguzi ufanyike.
Wanaosimamia huo ujenzi ni ma-engineer au ni madaktari?Geologist anambishia Engineer. Mathematician anambishia Medical Doctor. Mambo ya kitaalam.
Only in Tanzania.
Unajua kwanini Jamaa ana mashaka..amechukua Gharama ya mradi ambayo ni 10bl amegawanya Idadi ya Majengo kwanini huoni Hoja yake nawewe umpinge kwa Hoja badala yakumtukanaMkuu usihangaike na hao vijana wa chadema hakuna engineer hata mmoja hapo ni washenzi fulani tu wa mtaani
Mengine huo ni matokeo tu.Kilichobaki ni kuombea mabalaa,njaa,majanga na kila aina ya ubaya kwa nchi,Ufipa tumelogwa....MWAFAA
Gsam kafanya kazi ya kubashiri kutumia uzoefu wake.Mods mkipenda msiunganishe huu uzi.
Nchi hii tuna kasumba mbaya sana ya kupenda kumsifi mh. sana pale ikitokea jambo fulani limefanyika na likaenda vizuri.Watamsifu sana bila hata kutaja wasaidi wake au washauri wake.
Cha ajabu na kushangaza,mkulu akifanya jambo na likaharibika,utawasikia wanahamisha magoli na kusema mh.alishauriwa vibaya, wengine watasema ile ofisi ni taasisi na wala asilaumiwe na baadhi wataenda mbali zaidi na kusema awatimue kazi.
Kwa msingi huu, G Sam wanaokubeza kuhusu mashaka ulionayo juu ya gharama halisi ya ujenzi wa flat za UDSM ni hawa hawa watakaokuja kugeuza maneno na kusema mh.alishauriwa vibaya na wengine watasema hahusika na wala asilaumiwe kwa lolote iwapo mambo yataharibika au ikija kuthibitika kuwa gharama halisi ni tofauti na ile iliyotamkwa na mh.
Siyo uvivu wa kufikiri. Ni nyumba ya aina gani. Gharama za kuweka maji na umeme zimewekwa?Uvivu wa kufikiri na kukariri mambo.Ujenzi wa kutumia tofali za kuchoma na moramu mbona mil 15 inatosha kbs kujenga nyumba aliyosema jamaa
Wanaoshangilia ni wale ambao wamefatua tofali kwa mfuko mmoja tofali 80 na kuweka nondo za zege mil6 .hakuna ratio stahiki ya saruji na mchangaGsam kafanya kazi ya kubashiri kutumia uzoefu wake.
Angeenda pale kwanza kujiridhisha sio kukimbilia nyuma ya keyboard, Yawezekana akapata majibu mazuri ya dukuduku lake
na cha ajabu na Udhaifu mkubwa wa wapinzani huwa hawaleti mrejesho kama kitu wakigundua walikuwa wamekosea maana itawapinguzia sifa
Nakushauri usome thread upya. Utapata jibu.Unapinga kwa nini wamejenga au?
Hapana mkuu Gsam anapenda kukaa nyuma ya masaburi upo tayari?Gsam kafanya kazi ya kubashiri kutumia uzoefu wake.
Angeenda pale kwanza kujiridhisha sio kukimbilia nyuma ya keyboard, Yawezekana akapata majibu mazuri ya dukuduku lake
na cha ajabu na Udhaifu mkubwa wa wapinzani huwa hawaleti mrejesho kama kitu wakigundua walikuwa wamekosea maana itawapunguzia sifa
Muongo mkubwa...kadanganye watoto...mijitu mizima inaposema uongo inaboa sana...
Labda uwe unajenga choo...and i mean choo kikweli...eti kuezeka 5.2mil,labda hela ya fundi hiyo,au umeezekea fito..mbao za saohill tu ukatizi na hicho ki 5.2mil...bati za vipande ndio kabisa sahau....eti nyumba nzima 15mil...itakua umejenga banda wewe unadhani nyumba...archtect kakuelekeza nyumba wewe umeenda jenga banda,
Pole sana mkuu kwa kupanic maana wengine tulichagua kuwa matusiproof siku nyingi zimepitaHapana mkuu Gsam anapenda kukaa nyuma ya masaburi upo tayari?
Mkuu hili jitu liongo...atakua amejenga banda...anavyoongea kwa mabavu as if huyo archtect aliempa plan ni m.j.inga,kumbe yeye ndio amefeli...
Nyumba planned kwa 60mil kajenga kwa 15mil,aweke picha hapa uone vituko