Watanzania bwana mtu anakurupuka tu analalamika hata visivyolalamikiwa,
Mwingine hajafanya hata research anasema strabag ni kampuni ya ovyo,,
Tujifunze kupitia pitia hata google jamani kabla hatujaongea..
Strabag ni kampuni kubwa sana duniani, ipo same level na Toyota, Sony, Samsung,, ina mapato zaidi ya serikali yako ya ------,, imeshafanya construction project za kufa mtu ulaya, asia, america etc,,, imeajiri watu 73,600 dunia nzima, hapa Tanzania imekuja kwa msaada tu wa World bank,
Tatizo mshazoea kampuni njaa za kichina, zinajenga bara bara zisizo na viwango, eti wanakesha usiku wakimbilie nini wakati project inaisha 2015 mwishoni,,
Na hapa wanatusamehe tu kuturuhusu tupite wangesema wafate utaratibu walitakiwa wafunge njia zote kabisa ili wajenge vizuri..
Tusiwalaumu Strabag tuwalaumu serikali yetu hasa ya awamu ya kwanza kwa Kutoupanga mji vizuri mapema, mji hauna ramani, hauleweki vurugu vurugu tupu,,
magufuli mwenyewe na sifa zake zote kwa strabag hata kunyanyua mdomo hawezi