Ujenzi wa barabara za kasi

Ujenzi wa barabara za kasi

hawa watakuwa wamekuja mjini morogoro road iko four lanes,ally hassan mwinyi[new bagamoyo/upanga road] iko four lanes,kawawa[morocco road] iko four lanes,hio morogoro road wakati inawekwa lami na MECCO[hio ni kabla KAJIMA hawajaitanua kuwa four lanes] miaka hio ilifungwa kabisa watu wakawa wanazunguka kigogo kule itakuwa leo strabag wanajenga huku mnapita......maana yangu ni kuwa hawakuwahi kuona major road construction....hakuna mtu anaweza kujenga barabara ukubwa huo wa project kama DART system halafu isilete usumbufu....huko kwenye alternative routes wakijenga wanapata shida je sisi ambao njia kuu mjini ni tatu kweli usumbufu usiwepo??!!sasa mnatakaje,kama hamtaki usumbufu ina maana msijengewe barabara......
Tatizo lililopo siyo la Strabag bali ni la serikali kwani jamaa walikuwa wakabidhi barabara ikiwa imekamilika mapema lakini mpaka leo Serikali ya Tanzania haijawalipa baadhi ya watu waliojenga pembeni ya barabara hiyo. Pia serikali imechelewa sana kuondoa nguzo za umeme, mabomba yaliyopita chini na kuwafanya jamaa waijenge taratibu sana. Strabag wana vifaa vingi vya kazi na imefikia hatua wanaenda kujenga barabara Tanga. Bosi wao anafurahia anasema anapata kazi zaidi na anaongezewa muda wa kuishi Tanzania, hawa wasiwasi kwa kuwa serikali haitaki kutimiza majukumu yake.
 
Mkuu ni kweli usumbufu upo;lakini ulitegemea nini wakati ujenzi unaendelea? kumbuka hata wao wanapata usumbufu,wangependa wafanye kazi katika hali ya bila kusumbuliwa lakini mazingira ndiyo yalivyo na mradi unatakiwa ukamilike.

ushauri wangu tusiwe watu wa kibeza kila kitu tuwaaache watu watu watekeleze majukumu yao. Strabag wanafanya kazi katika mazingira magumu usifikili ile ni kazi ndogo mkuu hata hivyo wanajitaidi sana aisee............vumilia mkuu
 
Tatizo lililopo siyo la Strabag bali ni la serikali kwani jamaa walikuwa wakabidhi barabara ikiwa imekamilika mapema lakini mpaka leo Serikali ya Tanzania haijawalipa baadhi ya watu waliojenga pembeni ya barabara hiyo. Pia serikali imechelewa sana kuondoa nguzo za umeme, mabomba yaliyopita chini na kuwafanya jamaa waijenge taratibu sana. Strabag wana vifaa vingi vya kazi na imefikia hatua wanaenda kujenga barabara Tanga. Bosi wao anafurahia anasema anapata kazi zaidi na anaongezewa muda wa kuishi Tanzania, hawa wasiwasi kwa kuwa serikali haitaki kutimiza majukumu yake.

kwani tarehe ya kukabidhi hio barabara ni lini??ishapita??
 
sasa hawa wamekuja mjini juzi wanalalamika STRABAG kuwasumbua huku wamewaachia njia ya kupita....hio ingefungwa kabisa mpite vichochoroni huko......
Nonsense! So kuja mjini ndio nini? Hii mentality ya kila mtu akiponda utaratibu mbovu wa jiji la Dar anaambiwa ni wakuja mtaiendeleza mpaka lini? Ukilalamika watu kushika bomba kwenye daladala watu wanakushangaa na kukuita wa kuja! Hii inaonesha tumeshakubali kila utaratibu mbovu kuwa sehemu ya maisha yetu...
 
Tatizo lililopo siyo la Strabag bali ni la serikali kwani jamaa walikuwa wakabidhi barabara ikiwa imekamilika mapema lakini mpaka leo Serikali ya Tanzania haijawalipa baadhi ya watu waliojenga pembeni ya barabara hiyo. Pia serikali imechelewa sana kuondoa nguzo za umeme, mabomba yaliyopita chini na kuwafanya jamaa waijenge taratibu sana. Strabag wana vifaa vingi vya kazi na imefikia hatua wanaenda kujenga barabara Tanga. Bosi wao anafurahia anasema anapata kazi zaidi na anaongezewa muda wa kuishi Tanzania, hawa wasiwasi kwa kuwa serikali haitaki kutimiza majukumu yake.

Asante sana kwa kuelezea ukweli maana wengine wamekimbia kuonesha 'umjini' wao wa kuzoea utaratibu mbovu kwa kuwaita watu wanaolalamikia mpangilio mbovu 'wakuja'.
 
Nonsense! So kuja mjini ndio nini? Hii mentality ya kila mtu akiponda utaratibu mbovu wa jiji la Dar anaambiwa ni wakuja mtaiendeleza mpaka lini? Ukilalamika watu kushika bomba kwenye daladala watu wanakushangaa na kukuita wa kuja! Hii inaonesha tumeshakubali kila utaratibu mbovu kuwa sehemu ya maisha yetu...

Ungekuwa umekaa mjini[sio DAR tu hata LONDON/NEW YORK/TOKYO/PARIS ETC] ungejua karaha ya MAJOR CONSTRUCTION YA BARABARA NA MIUNDOMBINU MINGINE.....lakini kama umetoka kijijini hivi vitu hamna kwahio lazima ulalamike bila kuwa reasonable......wewe ulitaka wajenge bila usumbufu,how could they do that???usumbufu lazima utokee kwenye project kama hizo....sasa kama unashangaa au unaona ajabu kuwa na usumbufu wa aina hio lazima utakuwa umetoka bush huko maanake hakuna viu kama hivi.
 
Nyie wote hamjui mnachokisema. Mnadhani miundombinu huwa inajiumba.

Kwa taarifa yenu hao jamaa wanajitahidi kupita maelezo. Ingekuwa wachina wenu hali ingekuwa mbaya sana.

Kumbuka hao jamaa hawajapewa provision ya kuweka njia mchepuko (diversion). yaani wajenge humo, watu wapite humo humo, magari, pikipiki..n.k. Ni kazi kubwa sana kwa sisi tunaojua.

Kama mnataka msipate usumbufu basi ilazimisheni serikali ibomoe nyumba ambazo Magufuli alipigwa stop kuzibomoa, humo ndimo mulimotakiwa kupita njia mchepuko ili kule kati kazi iendelee bila usumbufu.

Na kwa taarifa yenu, hiyo kazi inatakiwa kukabidhiwa mid 2015. Hadi sasa jamaa wamshamaliza zaidi ya 60% ya kazi na muda uliotumika ni takribani nusu ya muda wote unaotakiwa. Kwa hiyo wanafanya vizuri sana.

Tatizo la watanzania wengi ni kujifanya wataaluma wa kila kitu, na kufuata mkumbo bila kujua mambo kiundani.
Inachekesha. Ukiona watu wanavyolaumu utafikiri ujenzi ni rahisi. Kwanza ilitakiwa barabara ifungwe kabisa. Hizo provision zilizowekwa kwa shidashida tu angalau magari yapite ni favor tu, kwa kuwa imeruhusu angalau traffic kupita, kisheria mjenzi wa barabara akishaanza kazi barabara inakuwa chini yake, hivyo anaweza kuweka provision ya magari kupita, kama hamna jinsi lakini ilipasa aifunge kabisa, ili aweze kufanyakazi kwa ufanisi. Hata kwenye majengo, huwekwa fence
(hoarding) ili kuzuia wasiohusika kupita, hii husaidia ujenzi kuwa makini. Ni kweli kuna usumbufu ila uvumilivu unatakiwa. Nina uhakika ingekuwa ni porini angechonga barabara ya muda ila kwa Dar ni vigumu.
 
Yani ile barabara nikero.. Wanabomoa, wanaacha.. Baada ya miezi ndo wanarudi kuanza ujenzi. Hawa watu wako highly disorganised.
Hizo barabara zenyewe zilivyo nyembamba na hizo kona kona, kaazi kweli kweli. Hapa foleni haita pungua kabisaaa.
Sijui hii serikali ilikiwa na mpango gani hata.

Anzisha nawe kampuni yako tukupe kazi tuone kama utabomoa na kujenga siku hiyo hiyo.
 
Yani ile barabara nikero.. Wanabomoa, wanaacha.. Baada ya miezi ndo wanarudi kuanza ujenzi. Hawa watu wako highly disorganised.
Hizo barabara zenyewe zilivyo nyembamba na hizo kona kona, kaazi kweli kweli. Hapa foleni haita pungua kabisaaa.
Sijui hii serikali ilikiwa na mpango gani hata.

Ndio maana Kagame kashindwa kwenda nao maana hawajui walifanyalo...Watu hatumuelewi Kagame hii mikitu ya Ujenzi haihitaji akili nyingi kwa kutizama mradi ili upate jibu kuwa wapo sawa au wako wrong aina ya ujenzi huu ni mzuri kama unakuwa unatumia Treni na si Mabasi yaharibikayo kutwa yakichoka kidogo... wewe subiri vituko mbona havijaisha vya huo mradi... Tutaona Mengi sana....
 
itasaidia kupunguza foleni

Nope Umekosea Mkuu wamesema wakimaliza ujenzi wataanza kuzuia magari madogo yasiingie city centre so inamaana huu mradi kazi yake si kupunguza foleni... maana magari madogo yakizuiliwa haimaanishi ndio foleni imepunguzwa na mradi bari foleni itapunguzwa na mpango wa kuzuia magari yasiingie city centre.... Huu mradi ni deal la baadhi ya viongozi.... walichotakiwa ni kuweka railways zipite Train not mabasi... na hayo mabasi si ya mwendo kasi kama wasemavyo... nina uhakika hayotokimbia kuzidi speed 60..... other ways itakuwa ni balaa njia ilivyo si ya mwendo kasi
 
wewe unajua kampuni ovyo??unaijua vizuri STRABAG??SMEC unawajua[consultancy].....labda utusaidie ulitaka wajenge vipi hapo bila usumbufu....??ungefurahi wangefunga kabisa hio morogoro road maanake wanavunja vipandevipande ili mpite mnalalamika.....nishashuhudi MOTORWAY/AUTOBAHN inajengwa kuongeza exit lanes na flyover na usumbufu ulikuwepo karibu mwaka mzima tena huko duniani kwenye miundombinu mizuri na alternative routes kibao.......ubungo kabla strabag hawajavuruga kulikuwa na foleni kila siku/kila saa.....BTW sasa hivi kuanzia kituo cha ubungo mpaka AKIBA ni four lanes zinatumika.....acheni malalamiko hio ndio price ya maendeleo...

Nadhani si wewe uliyepata usumbufu wa hiyo barabara kufungwa ----- wewe... watu wameteseka sana na hiyo barabara na ilifungwa kama ambavyo unavyotoa mifano yako tena ilifungwa kwa muda mrefu sana hadi malalamiko yakazidi raia wakawa wanawafanyia makusudi kwa sababu walifunga riziki za watu wengi waliokuwa wanaitegemea hiyo barabara kwa kipato chao cha kila siku walikuwa wanabomoa na kuondoka zao wakija tena hapo ni mwezi ilikuwa haileti akili kichwani why this.... Tizama hapo ubungo vituko walivyofanya wamevuruga na hawaelewi wamalize vipi walipoanza hawajui na hapo ubungo nadhani watamaliza 2015 maana kisehemu kidogo kimewashinda... kazi za watu wamezivamia... STRABAG ni Janga lingine la Taifa... Ukileta mambo ya Ushindani watu tushawaona hawa jamaa na tunaweza kuwa judge hata kwa Kura watashindwa tu.... labda utawapa wewe peke yako...ushindi kamauna kura ya veto... STRABAG wana jina lakini si watendaji kazi wanaotumia akili hilo ndio tatizo tunachotofautiana hapa.... ortenative zipo nyingi za kuondoa kero kwa watumia barabara wao wanafanya komoa... ingekuwa wakibomoa basi watengeneze mapema na sio kuacha kwa zaidi ya mwezi au miezi... haya nayasema yana washuhudiaji zaidi ya million sio wewe mtoa mapovu
 
ushashindwa hoja sasa....nani kakwambia mimi sipati usumbufu na hio barabara....naitumia sana ila naelewa...wewe sio muelewaji....HAKUNA UJENZI MKUBWA KAMA HUO UTAKAOKOSA USUMBUFU TENA AFADHALI HAO WANAWAACHIA SEHEMU YA KUPITA.....WANGEFUNGA KABISA.....
 
Nope Umekosea Mkuu wamesema wakimaliza ujenzi wataanza kuzuia magari madogo yasiingie city centre so inamaana huu mradi kazi yake si kupunguza foleni... maana magari madogo yakizuiliwa haimaanishi ndio foleni imepunguzwa na mradi bari foleni itapunguzwa na mpango wa kuzuia magari yasiingie city centre.... Huu mradi ni deal la baadhi ya viongozi.... walichotakiwa ni kuweka railways zipite Train not mabasi... na hayo mabasi si ya mwendo kasi kama wasemavyo... nina uhakika hayotokimbia kuzidi speed 60..... other ways itakuwa ni balaa njia ilivyo si ya mwendo kasi

you are a pessimist.......soma mradi uelewe mabasi haya sio ya kasi ni ya haraka kwa sababu yana njia maalum hayatakaa kwenye foleni.....sasa wewe na kelele zote hizi kumbe unajua mabasi ya kasi ni SPEEDING OVER 60KM PER HR
 
katika barabara ya morogoro road wapo , leo nimeingia dar katika mizunguko yangu imebidi nitembee kwa miguu badala ya gari , ingawa changamoto ni una sweat sana maaana unapoteza muda mwingi bila sababu
Hapo kwenye nyekundu ndo nini ati?
 
Back
Top Bottom