Ujenzi wa barabara za kasi

Ujenzi wa barabara za kasi

Anzisha nawe kampuni yako tukupe kazi tuone kama utabomoa na kujenga siku hiyo hiyo.

Mie sihitaji tender ya kujenga. But ikitokea kitu kimenikera, lazima nisema. All i said is hawa watu wako disorganised. Sasa wewe unalia nini?
 
you are a pessimist.......soma mradi uelewe mabasi haya sio ya kasi ni ya haraka kwa sababu yana njia maalum hayatakaa kwenye foleni.....sasa wewe na kelele zote hizi kumbe unajua mabasi ya kasi ni SPEEDING OVER 60KM PER HR

Huu mradi hauta punguza foleni.. Kwani mabasi ndo yanaleta foleni hapa mjini? Mradi utapunguza usumbufu kwenye mabasi. Chances of reducing foleni is zero. Leni bado ziko mbili tena nyembamba. I just dont how foleni itapungua.
 
so hujui public transport nzuri inapunguza vipi foleni.....wewe na wenzako 60 mkiacha magari nyumbani hio ni magari 61 pungufu barabarani,hilo ni basi moja......zidisha mabasi 100 yatapunguza magari mangapi barabarani.....inabidi muache kasumba za magari sababu DART ni ya kistaarabu acheni magari nyumbani foleni itapungua....kuna na nchi ma-CEO hadi PM wanapanda public transport
 
you are a pessimist.......soma mradi uelewe mabasi haya sio ya kasi ni ya haraka kwa sababu yana njia maalum hayatakaa kwenye foleni.....sasa wewe na kelele zote hizi kumbe unajua mabasi ya kasi ni SPEEDING OVER 60KM PER HR

Ha ha ha, achana nae huyo kaka, tatizo la wabongo hawatembei kuiona dunia halafu wanajifanya wanajua..

Mtu anafikiri speed 120 ndio mabasi hayo yataenda hivyo..

Wabongo jifunzeni ku save na kutalii sehemu zingine za dunia muone mambo yanavyoenda
 
Ni kero baada ya kero..sijui kwanini hawajengi usiku..wanajenga baada ya muda wanabomoa...wanavunja wanaacha vumbi wanaondoka...kiukweli watumiaji wa morogoro rd ni kero sio kidogo...
Mkuu tunatakiwa kuwa wavumilivu kwa muda hizo kero zitaisha, kwani wakijenga usiku hizo kero zitaisha.
 
Ha ha ha, achana nae huyo kaka, tatizo la wabongo hawatembei kuiona dunia halafu wanajifanya wanajua..

Mtu anafikiri speed 120 ndio mabasi hayo yataenda hivyo..

Wabongo jifunzeni ku save na kutalii sehemu zingine za dunia muone mambo yanavyoenda
Naomba nikusahihishe ndugu yangu. Huwezi kulinganisha jamii na jamii. Dar hakuna magari mengi kama Berlin au London wenzetu wanafuata sheria na ni wastahimilivu wakati sie mungu anajua. Kawaida dereva humwangalia magari yaliyomzunguka. Hata kama kuna line moja wao kwa wao huwa wanajiongoza na utaona kama wanapangwa. Hivyo ndivyo walivyo na desturi zao. Njoo Bongo, kila mtu anaona yeye ndiyo mwenye haki zaidi ya mwenzake. Mpaka aje trafic aanze kuwapanga nyie wenye magari. Hivi kwa wenzetu kuna line moja ambayo hutumiwa na mabasi na taxi (PSV) lakini huoni gari lisilohusika kukanyaga hapo. Njoo kwetu magari yanapita hata kwa waendao kwa miguu na wakati mwingine foleni ni ndogo. Ubinafsi umetujaa. Mradi huu hautakuwa na mafanikio kutokana na tabia zetu. Mradi huu unaweza kuzidisha kero kama gari litaharibika katikati ya njia. Ninelikuwa mtu kama Nape au Makamba ningependekeza hizo barabara ziwekewe reli line mbili hapo tutakuwa tumejiokoa ila sasa bahati mbaya mimi ni Njilinji natokea njinjo. Merci
 
Kweli magari si kitu cha kuzoea.natembea toka mnazi mmoja mpka posta kila cku asubuhi n em enjoying..iwsh wabongo tujifunze kuzoea hali kama hii..mnazi mmoja to kivukoni c mwendo wa kupanda gari..kiafya na kiakili tunajengeka pia...
 
Naomba nikusahihishe ndugu yangu. Huwezi kulinganisha jamii na jamii. Dar hakuna magari mengi kama Berlin au London wenzetu wanafuata sheria na ni wastahimilivu wakati sie mungu anajua. Kawaida dereva humwangalia magari yaliyomzunguka. Hata kama kuna line moja wao kwa wao huwa wanajiongoza na utaona kama wanapangwa. Hivyo ndivyo walivyo na desturi zao. Njoo Bongo, kila mtu anaona yeye ndiyo mwenye haki zaidi ya mwenzake. Mpaka aje trafic aanze kuwapanga nyie wenye magari. Hivi kwa wenzetu kuna line moja ambayo hutumiwa na mabasi na taxi (PSV) lakini huoni gari lisilohusika kukanyaga hapo. Njoo kwetu magari yanapita hata kwa waendao kwa miguu na wakati mwingine foleni ni ndogo. Ubinafsi umetujaa. Mradi huu hautakuwa na mafanikio kutokana na tabia zetu. Mradi huu unaweza kuzidisha kero kama gari litaharibika katikati ya njia. Ninelikuwa mtu kama Nape au Makamba ningependekeza hizo barabara ziwekewe reli line mbili hapo tutakuwa tumejiokoa ila sasa bahati mbaya mimi ni Njilinji natokea njinjo. Merci

Ma bus ya kwenda haraka, yatapita njia yake peke yake ile inayojengwa katikati ambayo ni kama zege hivi, zile za lami zinazotumika sasa hivi ndio zitakuwa za magari binafsi..

Ile ya katikati ndio ma bus ya mradi wa BRT ndio yataitumia peke yake, hakuna hata nafasi ya gari za kawaida kuingia ile njia
 
Wewe upo Bongo yetu kweli. Wait and see. Hii naitunza tuwasiliane kazi ikianza
 
Back
Top Bottom