Wadau, naelewa adha na hasira inayowapata lakini kuna facts nyingine tuzifahamu:
1. Strabag sio kampuni ya kujenga barabara kiwango duni. It is a 10+ billion euros company (revenue alone), employing over 76,000 staffs worldwide.
2. Strabag imeshafanya projects nyingi na kubwa ulimwenguni (e.g.Germany,UAE,Malaysia,Denmark,Libya,Cameroun,Rwanda, etc) ambazo ni kubwa kuliko hiyo project ya Dar.
3. Strabag wanatumia latest construction technologies -na kwa hili nyie ni mashahidi ya vifaa wanavyotumia kujenga hiyo Kimara-Jangwani stretch.
Ingawa sitetei kucheleweshwa ujenzi kutokana na adha watumizi tunazopata lakini kutoka na history na weledi wa kampuni kuna sababu nyingine zinazoleteleza na I can bet you zinaweza kuwa ni sisi (waTz) tunasababisha. Mfano unaweza ukakuta kuna baadhi ya vitu vimekwama bandari kwetu kutokana tu na urasimu usio na msingi.
There could numerous reasons as to why the project is stalled but the point I am trying to make is that STRABAG is a very serious company that can deliver.
Nimeweka links hapa chini na brochure that I sourced from their website.
STRABAG SE - BUILDING VISIONS. BUILDING VALUES. BUILDING EUROPE.
I support You!! But here in Dar!! Is full of ignorance!! Kuwa na Vifaa na Technologia sio sababu ya kuwachelewesha watu na kila kipofu anayepita kwenye eneo la Ujenzi Inaonekana ni Poor Planing!! Fikiria unamwaga zege sehemeu ambayo Tayari ni formworked kwa week Tatu Hadi NNE (Kimara Mwisho)!! Fikiria kuharibu Barabara bila kuwa na Utaratibu wa Ujenzi Wake!! Ni Mtu asiyefikiri Tuu ndio anaweza Kuona hawa watu wapo right!! Ila ni full Aibu!!
mambo ya kupeana tenda
Naona mnalalamika sana.
Nitarudi baadae kuchangia vizuri
Ila tatizo la wabongo wao wanapenda kuona lami inamwagwa siku ujenzi unapoanza, kumbe hiyo ni hatua ya mwisho kabisa.
Halafu mnazungumzia diversion,
Magufuli akitaka kubomoa nyumba zilizo kwenye hifadhi ya barabara ili zipatikane hizo diversion na kupata eneo la kupanulia barabara watu mnakimbilia kushitaki kwa mkulu. Sasa hizo diversion mnataka ziwe zinaelea hewani?