ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,599
- 127,120
Hata project ya kwanza ilikuwa na taa, though ile taa zake zilikuwa kwenye daraja la kwanza(yaani interchange ilikuwa katikati), chini ilikuwa inapita free(Mbezi-City centre), katikati interchange na juu ndio ilikuwa free(Mwenge-Buguruni)Kwa mabadiliko hayo ya mchoro ina maana juu kutakua na madaraja mawili kama la tazara moja linatoka mwenge kwenda Tazara jingine mbezi kwenda kariakoo na interchange itakua barabara ya chini. Hii ina maana pale chuni still tutakua na traffic light zitakazoruhusu magari kupishana yanapotoka mjini kwenda mwenge na Tazara kwenda kariakoo...
Ubahili utatuua...View attachment 1062600
Sent using Jamii Forums mobile app