K kasimba123 JF-Expert Member Joined Apr 18, 2010 Posts 1,753 Reaction score 816 Oct 15, 2018 #81 nondo au flat bar haiwezi mzuia mwizi kuiba bali humchelewesha
S salari JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,991 Reaction score 6,967 Oct 16, 2018 #82 BlackPanther said: Ulinzi mzuri ni wa MBWA tu..binadamu ni rahisi sana kukugeuka... Click to expand... Kweli mbwa anasaidia na hasa kama umemtrain kutokula chochote ambacho wanafamilia hawajampa ale vinginevyo vijibwa vya kibongo akipewa kipaja chenye sumu na vibaka tu anakula na anakufa hapohapo na wizi unafanyika kama kawaida
BlackPanther said: Ulinzi mzuri ni wa MBWA tu..binadamu ni rahisi sana kukugeuka... Click to expand... Kweli mbwa anasaidia na hasa kama umemtrain kutokula chochote ambacho wanafamilia hawajampa ale vinginevyo vijibwa vya kibongo akipewa kipaja chenye sumu na vibaka tu anakula na anakufa hapohapo na wizi unafanyika kama kawaida