Ujenzi: Nondo vs Flat bar Grills

labda huwapendi mkuu, kwangu bila mbwa mmh sijisikii raha lkn wakienyeji sitaki, only gsd
Hao wana bajeti yao ya chakula, huwezi kuwafuga kama bajeti ya kula wewe mwenyewe tu bado ni utata.
 
nafikiri najitosheleza kwa hilo, ni mwaka wa nane nikifuga kibiashara na sijawahi kushindwa
Hao wana bajeti yao ya chakula, huwezi kuwafuga kama bajeti ya kula wewe mwenyewe tu bado ni utata.
 
Huu uzi unazidi kunipa machungu maana nmeshaweka flat bar dirisha zote nmesimama kwa muda nikitafakari nn nifanye maana jirani yangu huko napojenga wameshakata flat bar wakaingia wakaiba kaanza kuweka nondo dirisha moja moja...maisha yenyewe sasa yamebana

View attachment 899105
 
Kama hivyo sawa siyo unafuga mbwa kutegemea makombo ya vyakula vya bar.
kulikoni kumpa makombo bora nimpe chakula changu nilale njaa, najua faida za mbwa zaidi ya ulinzi kwangu ni biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…