Ujenzi: Nondo vs Flat bar Grills

Kwa sasa fashion iliopo ni mabomba japo nasikia yana bei kuliko flat bar na nondo, not sure
 
sasa ni ngumu kufanya ulinganifu..
1. ungesema nondo za 10mmm
2. flat bar za 6mm
Katika kutengeneza dirisha la ukubwa flan eg. 150x160cm
ndipo tungeweza kuchangia uzoefu wetu, lkn wewe umeongea kwa ujumla bila ufafanuzi
Yeah, ukiweka zile plain nondo za 10/12mm au 6mm flat bars lazima grill iwe imara.

Japo kwa mwizi yote yanawezekana.
 
mentality za umaskini, kijana mzima hataki kusikia mwenzie anaongea mambo ya maendeleo kama ujenzi au gari huo ni zaidibya umama
Hii ndio JF yetu.
 
Yeah, ukiweka zile plain nondo za 10/12mm au 6mm flat bars lazima grill iwe imara.

Japo kwa mwizi yote yanawezekana.
ulinzi wa kwanza ni Mungu kwani siku hizi watu wanavamiwa nje ya nyumbani cc Mo, pili ukuta, tatu mbwa, nne ndio grill.
kujifungia na magrill kama gereza nako ni hatari kubwa zaidi
 
Mbwa wamenishinda kufuga.
 
ulinzi wa kwanza ni Mungu kwani siku hizi watu wanavamiwa nje ya nyumbani cc Mo, pili ukuta, tatu mbwa, nne ndio grill.
kujifungia na magrill kama gereza nako ni hatari kubwa zaidi
Wengi mna vyote....mbwa,ukuta,grill
 
labda huwapendi mkuu, kwangu bila mbwa mmh sijisikii raha lkn wakienyeji sitaki, only gsd
Washkaji wananiambia nikachukue kila siku, ila siwapendi.
 
Wengi mna vyote....mbwa,ukuta,grill
unarudi kule kule kwa wasiotaka kusikia, nimetaja vitu vinavyoambatana na ulinzi wala sijataja nilivyo navyo zaidi ya gsd, hupendi kusikia na wewe?
 
Hapa nalinganisha flat bars na nondo. Sisemi kuwa nondo wezi hawawezi kuvunja.
Acha kujidanganya, kuna mikasi maalum na wakiwa na kazi maalum wanatembea na mitungi ya gesi.

Wenzako wanavunja safe za kuwekea pesa wewe unaongelea nondo?
 
Sawa.
 
unarudi kule kule kwa wasiotaka kusikia, nimetaja vitu vinavyoambatana na ulinzi wala sijataja nilivyo navyo zaidi ya gsd, hupendi kusikia na wewe?
No...nyumba nyingi zina fence,grill na mbwa. Ndio nilichomaanisha. Kwamba huwezi kutegemea mbwa au ukuta peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…