mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,658
- 9,762
Sio watu wote tunafanya kazi posta.
Kuna wengine ni wafanya biashara ambao popote wanaweza kupata wateja,wengine kazi zao ni huduma za jamii kama walimu,manesi,madaktari na huduma zao kila mahali zinahitajika.
Wengine kazi zao ni kusafiri mbali na kurudi dar sio lazima awe anaishi mjini.
Kwa hiyo umuhimu wa kujenga utabaki palepale haijalishi ni mabwepande au bagamoyo.

Viwanja vya bei nafuu viko mbali na miji, vijana wengi wanashindwa kujenga kutokana na hili. Upate kiwanja Mambwepande na kazi unafanya Posta. Ukimaliza ujenzi gharama ya kwenda kazini kila siku ni Kheri kupanga nyumba Sinza.