The atlantic
JF-Expert Member
- Aug 1, 2023
- 555
- 948
Nyumba mkuuUnajenga nyumba au ngome?
Zipo nyumba kibao tu zenye concrete roof ambako huko juu unaweza pia kupatumia kwa kazi nyingine, ila nadhani ni gharama sana, kama unataka kukimbia gharama sio option nzuri ezeka na bati tuWasaslam.
Nahitaji kujenga nyumba ya kawaida ambayo itakuwa na concrete roof. Je inafaa na Kama inafaa vipi gharama zake?
Kupaua kutumia concrete slab au mabati ipi ni nafuu. Karibuni wadau
Point ya msingi ni katika Kupaua.Bila kapicha kuelewana inakua ngumu
Ila watu😂😂Unajenga nyumba au ngome?
Mkuu gharama zinaingia hasa wapi...Zipo nyumba kibao tu zenye concrete roof ambako huko juu unaweza pia kupatumia kwa kazi nyingine, ila nadhani ni gharama sana, kama unataka kukimbia gharama sio option nzuri ezeka na bati tu
Mkuu watu ndio sisiIla watu😂😂
SahihiMkuu kwanini umeamua hivyo?
Anyway itatakiwa
msingi uwe imara
Fuundi awe imara
Wallet iwe imara
Na mwisho kabisa
Zingatia 1&2
Zege sio gharama sana kiongozi? Nondo, kokoto, mesh, zege lenyewe lakini after hapo huwezi acha zege likae uchi utapaua tena! Paua kawaida tuPoint ya msingi ni katika Kupaua.
Je nitumie kuweka zege au nipaue kawaida na mabati
OK. Kuna zile nyumba huko arabuni unakuta hazina mabati wao wanajenga vipi? In fact nazipenda and I just want to give it a tryZege sio gharama sana kiongozi? Nondo, kokoto, mesh, zege lenyewe lakini after hapo huwezi acha zege likae uchi utapaua tena! Paua kawaida tu
Gharama zinaanzia kwenye msingi wa kubeba uzito wa hiyo roof.Mkuu gharama zinaingia hasa wapi...
Mfuko kama uko poa ni kufanya tu ila slab itritiwe isiathiriwe na majiOK. Kuna zile nyumba huko arabuni unakuta hazina mabati wao wanajenga vipi? In fact nazipenda and I just want to give it a try
A picture speaks a thousand wordsBila kapicha kuelewana inakua ngumu
Of course kutakuwa na msingi pamoja na nguzo but kitakuwa kitu cha moja kwa mojaGharama zinaanzia kwenye msingi wa kubeba uzito wa hiyo roof.