Ujenzi holela maeneo ya wazi, nini jukumu la Wakurugenzi wa miji?

AmaniKatoshi

Senior Member
Mar 31, 2009
158
14
Wanabodi hebu tusaidiane hapa, huu ujenzi unaoendelea kwenye maeneo ya wazi, mbona wakurugenzi wetu waliopo manispaa hawachukui hatua?

Maeneo mengi ya wazi yametwaliwa na wenyw pesa! Watoto wetu na wa kwako watacheza wapi? Vikao vyetu vya mitaa vitafanyikia wapi?

Jamani tusaidiane katika hili
 
Back
Top Bottom