MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 2,848
- 3,570
Nenda yombo vituka mpaka unatokea yombo kiwalani ukaone milami inameremeta na mataa yake.Legacy ya mpumbavu yule itafutika automatically..
Nilikuuliza hapa nipe km za barabara alizojenga Mwendazake huna,kama hujui kachukue bajeti ya mwisho ya mwaka 2020 ina summary ya hizo uone uozo alioufanya..
Yule mtu wenu alikuwa hovyo Sana ,alikuwa anazindua barabara zilizokamilika toka 2014 mfano barabara ya Iringa -Dodoma, Sumbawanga-Tunduma nk..
Nchi hii Barabara alijenga Kikwete.