johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,128
Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?Wabunge waliochangia hotuba ya wizara ya ujenzi wamelia na kusuasua kea ujenzi wa barabara za majimboni mwao.
Wengine wamefikia hatua ya kumkumbuka Mwamba hayati Magufuli
Source: TBC
Yule mzee alikuwa katili sana. Barabara zitajengwa, hakuna mashaka, ni suala endelevu hili.Wabunge waliochangia hotuba ya wizara ya ujenzi wamelia na kusuasua kea ujenzi wa barabara za majimboni mwao.
Wengine wamefikia hatua ya kumkumbuka Mwamba hayati Magufuli
Source: TBC
Yule mswahili wa Pemba ndiyo Waziri wa ujenzi unategemea nini?Wabunge waliochangia hotuba ya wizara ya ujenzi wamelia na kusuasua kea ujenzi wa barabara za majimboni mwao.
Wengine wamefikia hatua ya kumkumbuka Mwamba hayati Magufuli
Source: TBC
Umeumia sana bwasheeNi wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?
Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..
Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..
Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..
Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..
Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..
Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..
Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Ndio nimeumia mnoo maana mtu aliyevuruga mpango wa Ujenzi barabara alikuwa Magufuli..Umeumia sana bwashee
Pole mbwa kachoka.Ndio nimeumia mnoo maana mtu aliyevuruga mpango wa Ujenzi barabara alikuwa Magufuli..
Alihamisha bajeti ya barabara ikahamia kwenye reli na sgr,miaka 6 ya Magufuli kajenga chini ya km2,000 za lami wakati Tulikuwa tunajenga wastani WA km 2500-3000 kwa miaka 5..
Hao hata walie au wapige sarakasi hakuna kitakachobadilika kwa sababu pesa hazitoshi..
Hayo ndio matokeo ya kuwa na mtu asiye na akili.Binafsi ninakereka Sana na Mwendazake kwa sababu aliharibu mambo mengi mno..
Mfano mkoa wa Songwe alijenga km 50 tuu kwa miaka yote 6,Rukwa hata km 1 hakuna,Katavi ndio alijenga km 390 kwa sababu Waziri wa Ujenzi alikuwa wa huko ndio hiyo barabara Rais alizindua juzi..
Kigoma hakuna, barabara zimeanza kujengwa mwaka juzi baada ya mkopo wa
Yaani kiufupi hakuna Mkoa ambao barabara zilijengwa zaidi ya km 100 kwa miaka 6..Mwaka wa kwanza wa Samia karibu pesa yote ya Wizara ya ujenzi imelipa madeni ya wakandarasi..
Mwaka huu ndio pengine barabara zitaanza kujengwa kwa angalau Kwa speed ya awali.
Mzimu wa mbwa haunipi tabu natamani nikapige moto Kaburi lake baada bakoraPole mbwa kachoka.
Mzimu wa Magufuli unakufirimba kila siku usiku. Pole sana aisee
Wafe wamfuate hukoWabunge waliochangia hotuba ya Wizara ya Ujenzi wamelia na kusuasua kwa ujenzi wa barabara za majimboni mwao.
Wengine wamefikia hatua ya kumkumbuka Mwamba hayati Magufuli
Chanzo: Bungeni
Ndiyo wapi huko Bashite?Watamzania tuliowengi tunamkumbuka sana.kipindi hicho miradi ilienda kwa kasi ya mwanga.alipofariki tu miradi ikasimama.mfano mradi wa mwendokasi morocco hadi mwenge ubungo umekufa.kule mbagara unasuasua na hauna ubora,umeme shida tupu.maji kutoka shinyanga hadi tabora umesimama na miradi mingine mingi tu R.IP mzalendo jpm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na aibu BASI.Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?
Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..
Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..
Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..
Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..
Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..
Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..
Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Unamtaja YESU ikiwa una chuki na husda moyoni?Yule mzee alikuwa katili sana. Barabara zitajengwa, hakuna mashaka, ni suala endelevu hili.
JESUS IS LORD
Sure mkuu. ππ»ππ»ππ» kuna miradi kibao alizindua afu hakujenga yeye. Na akawa anajipa maujiko kuwa nimeweza hiki sijui nini. Binafsi jiwe sijawahi mkubali na siwezi mkubali kwa maana aliharibu hili taifa mnoLegacy ya mpumbavu yule itafutika automatically..
Nilikuuliza hapa nipe km za barabara alizojenga Mwendazake huna,kama hujui kachukue bajeti ya mwisho ya mwaka 2020 ina summary ya hizo uone uozo alioufanya..
Yule mtu wenu alikuwa hovyo Sana ,alikuwa anazindua barabara zilizokamilika toka 2014 mfano barabara ya Iringa -Dodoma, Sumbawanga-Tunduma nk..
Nchi hii Barabara alijenga Kikwete.
Tatizo lako mahaba na hutembei, ila tunaopiga projects huku mikoani tuliyaona aliyofanya anko.Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?
Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..
Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..
Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..
Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..
Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..
Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..
Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Mbona wewe hujamfata Lisu ubelgiji?Wafe wamfuate huko
Magufui alikuwa na mikoa yake ya kujenga barabara.Ni wapuuzi, unadhani kinachojenga ni pesa au maneno?
Huyo Mwendazake wenu alijenga km chache Sana za barabara na kama mnazijua zilizokamilika nitajieni..
Mkoa niliko Mwendazake alikamilisha barabara moja tuu ambayo ilianza kujengwa miaka 10 iliyopita na bado Mkandarasi anadai..
Si bora hata Mama nimeona kuna ujenzi wa barabara 3 umeanza..
Mliacha kujenga barabara mnakomaa na mareli yasiyo na maana..
Pesa zikizoingia kwenye reli zingemaliza barabara Kwa 89% lakini zimezikwa zaidi ya til.15 na hata nusu hatujamaliza..
Hii ndio tatizo la kukosa mtu sahihi kwenye uongozi,kuacha huwezi lazima umalize hata kama ni tembo mweupe..
Mwisho kuna uzembe fulani kwa sababu kama ujenzi ulipanga km450 na zimejegwa 46% tuu ya barabara kuu ,kuna shida mahala.
Alijilita kwenye barabara za kimkakatiMagufui alikuwa na mikoa yake ya kujenga barabara.
Kuna mikoa aligoma kabisa.
Mbeya ni mfano mzuri.
Batarbara ya Igawa-Tunduma , yenye kilometa karibu 200, na kuby-pass Jiji a Mbeya imeimbwa toka miaka ya Mkapa na Mwinyi.
Magufuli amekuwa waziri wa ujenzi mpaka rais, na hakuna ilichofanyika.
Kule kwetu milimani batabara ya Tukuyu-Mbambo -usokela-Mwakaleli-Katumba, ya karibia kiometa 90, imeimbwa weee miaka yote ya uchaguzi.
Makandarasi yupo lakini kazi iliyofanyika ni kidogo sana.
Ujenzi wa barabara mwendazake alichagua za kujenga.
Atarudi, Je dikteta naye atarudi?Mbona wewe hujamfata Lisu ubelgiji?