Ili upate tani, ujazo wa tanki hilo unategemea na density ya hiyo liquid. A more dense liquid itachukua volume ndogo as opposed to a less dense liquid. Ndio maana ni muhimu kujua huyu anajaza liquid gani kwenye tank.
At sea level πUjazo wa maji unalingana na kilo moja. Kwa hesabu za haraka haraka 1kg = 1 liters of water. .
π π π exactlyIli upate tani, ujazo wa tanki hilo unategemea na density ya hiyo liquid. A more dense liquid itachukua volume ndogo as opposed to a less dense liquid. Ndio maana ni muhimu kujua huyu anajaza liquid gani kwenye tank.
Volume Γ density = weight
Given weight = 1,000 kg
Volume = 1000/density
Kutokana na post no 14, kama unajua density ya liquid na radius ya circular cylinder, waweza kukokotoa height ambayo ni kiasi gani waweza kujaza hiyo container ili ujazo uwe tani 1 excluding weight ya container.
Ujazo waWazee kwema naomba kujua fomula ya kupata ujazo katika tank kwa tani,
Acha uongoUnataka kujaza nini, kama ni maji, haya twende pamoja,
Nenda kapime urefu wa tanki(height), na kipenyo cha mduara(diameter)
Halafu tumia hii formula kupata ujazo, lakini formula inatumia nusu kipenyo, maana yake gawanya kipenyo kwa 2 ndio upate radius r
View attachment 2498706
Jibu litakua la ujazo, yaani cubic centimeter au cubic meter , inategemea ulichukua vipimo kwa meter au centimeter
badilisha ujazo wa kuwa lita
1 cubic meter = 1000 litre
1cubic centimeter = 0.001 litre
Jibu utakalopata la litakuwa la lita
Sasa kwa kuwa lita moja ya maji (nakazia ya maji) ni kilogram 1,
badilisha hizo lita kuwa tani, kumbuka kwa kila kilogram 1000(litre 1000 za maji) ni tani 1
Topic density: Form OneWazee kwema naomba kujua fomula ya kupata ujazo katika tank kwa tani,
Wazee kwema naomba kujua fomula ya kupata ujazo katika tank kwa tani,
una complicate kitu kidogo, ndio maana kina fundi maiko wanawapiga bao na vidgirii vyenuUjazo wa
Acha uongo
Topic density: Form Oneuna complicate kitu kidogo, ndio maana kina fundi maiko wanawapiga bao na vidgirii vyenu
Anastahili, ila ule wa Dokta Msukuma mbunge wa Geita vijijini ulizua mjadala sana. Ashukuru Dokta Taletale ametanguliwa na Dokta Samia (Rais) hatajadiliwa sana.Masikitiko Yangu tu ni Babu Tale naye katunukiwa U dokta kama Mama?
Udokta Umekuwa rahisi Hivyo...!
Kwani hii formula sikuweka,pi r^2 h (m^3)
TuliaKwani hii formula sikuweka,
Volume = Οr^2(Area) x h (heights),
Hayo mengine ni uliyongezea, yanahusu only kama anajaza kimiminika tofauti na maji, na sio muhimu kumuwekea kama ni mteja (layman) hatakuelewa na mifomula ya kishuleshule. akishapata Volume kwa mita au centimita za ujazo m^3/cm^3 inatosha kujua atageuzaje huo ujazo kulingana kimininika kipi kinahifadhiwa kwenye tanki.
Bora ungekuja na wazo jipya, sababu na wewe umerudii kulekule na formula ile ile niliyotoa, je kama tanki linalotumika ni mraba(square) au mstatili(rectangular)
View attachment 2499432
View attachment 2499433
Ushafeli intavyuu ya kazi hapoTulia