ujauzito.............! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ujauzito.............!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Philipo Kidwanga, Jul 19, 2012.

 1. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jamaa mmoja msahaulifu sana,siku moja alikwenda mgahawani kupata staftahi akawa ana hamu na mayai sasa akawa amesahau yanavyoitwa.Akafikiriaa weee akawa hakumbuki.ikabidi aseme haloo hebu nipatie chai ya maziwa na mimba mbili za kuku.
   
 2. kobonde

  kobonde Senior Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  onyooooo
   
 3. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Mkuu sijakuelewa hapa ulitaka kuandika 'nyooo' au 'onyooo' ?
   
 4. kobonde

  kobonde Senior Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ovyoo!
   
Loading...