Mimba umemtandika weweNIMEOA namke wangu tunamiaka miwili ni mjamzito. tangu awe katika hali hiyo tumekuwa tukigombana karibu kila siku kwa mambo yasiyo na maana, kusema kweli ananiuzi na nina tamani nimwache niende mbali na upeo wa macho yake. labda ndo ntapata furaha ya maisha nikiwa huko yeye akomae tu na maisha yake yani 50/50 sintamtumia hela ya matumizi ataju mwenyewe atakako itoa.
Busu mimba haimuachagi mtu salamaNdio ile mimba ya busuu kiongozi??
Kama ndio vumilia labda ndo tabia za mimba za hivyoo sababu haijaingizwa kawaida..............!!
Muonee huruma usimuumbue sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juzi ulisema watamani upate mimba,
Leo mke ana mimba au ishaingia tuite waandishi dume kubeba ujauzito
[emoji23] [emoji23] itakuaSi una miaka 9 hujafanya sex? au umepata mimba kwa kiss
Huyu ni ndugu wa kritika
sawa nimekwelewa ila nitafikiliaNaona mimba ya mkeo imeingia kwa bluetooth mkuu hongera.
Ila mimba huwa na changamoto zake,kikubwa vumilia maana hiko ni kipindi cha mpito na mwanaume wa kweli hakimbii nyumba kisa mimba
[emoji253][emoji257][emoji272]