chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,570
Hata anayeshika pembe na kukamua maziwa ni watu tofauti
Maweeeee......!Ni kusaidiana majukumu, mwenzio kajituma kajaza... hebu nawe tumia nafasi uliyopewa!
Endelea kumuendekeza tu, ipo siku atakuambia kanunua kiwanja anataka umjengee nyumba aishi yeye na watoto wake na jamaa yake mpya ila wewe usiende mpaka akuruhusu.Wakuu kwa kweli imefika mahali sasa nashawishika kujibu hovyo...
Kwa jina anitwa X, ni kabila la watu wa pwani, na kama mnavyojua kwenye mapenzi kwa hawa watu unaweza kuhonga hata nyumba. Mimi niliamua awe mchepuko, hivyo tukawa hatugandani, ila akiitaji msaada wowote nilikua nampa. Huyu mwanamke ni single mother na mtoto wake yupo std III, yanii ilikua hata birthday cake ya mwanawe nilikua naombwa mimi.
Sasa tatizo limekuja amebeba mimba sijui ya nani huko, halafu jamaa ameshaingia mitini, ananifata mnyonge wake... Kwa kuwa na mimi sasa hivi anipi mchezo nimeamua kumkaushia... Ila Anasumbua sanaaa....
Je nimfanyeje huyu...? Maana ameamua kushika mimba, amekatisha utamu, afu sasa anasumbua
Inaonekana wewe utakuwa "Baba Mlezi".Wakuu kwa kweli imefika mahali sasa nashawishika kujibu hovyo...
Kwa jina anitwa X, ni kabila la watu wa pwani, na kama mnavyojua kwenye mapenzi kwa hawa watu unaweza kuhonga hata nyumba. Mimi niliamua awe mchepuko, hivyo tukawa hatugandani, ila akiitaji msaada wowote nilikua nampa. Huyu mwanamke ni single mother na mtoto wake yupo std III, yanii ilikua hata birthday cake ya mwanawe nilikua naombwa mimi.
Sasa tatizo limekuja amebeba mimba sijui ya nani huko, halafu jamaa ameshaingia mitini, ananifata mnyonge wake... Kwa kuwa na mimi sasa hivi anipi mchezo nimeamua kumkaushia... Ila Anasumbua sanaaa....
Je nimfanyeje huyu...? Maana ameamua kushika mimba, amekatisha utamu, afu sasa anasumbua
Akale alikopeleka mbunye,tena mwambie BANGLADESH,,tatizo huuzurii vikao,tunafundisha namna yakuwagundua madanga kila wikiWakuu kwa kweli imefika mahali sasa nashawishika kujibu hovyo...
Kwa jina anitwa X, ni kabila la watu wa pwani, na kama mnavyojua kwenye mapenzi kwa hawa watu unaweza kuhonga hata nyumba. Mimi niliamua awe mchepuko, hivyo tukawa hatugandani, ila akiitaji msaada wowote nilikua nampa. Huyu mwanamke ni single mother na mtoto wake yupo std III, yanii ilikua hata birthday cake ya mwanawe nilikua naombwa mimi.
Sasa tatizo limekuja amebeba mimba sijui ya nani huko, halafu jamaa ameshaingia mitini, ananifata mnyonge wake... Kwa kuwa na mimi sasa hivi anipi mchezo nimeamua kumkaushia... Ila Anasumbua sanaaa....
Je nimfanyeje huyu...? Maana ameamua kushika mimba, amekatisha utamu, afu sasa anasumbua
Wanawake wa siku hizi ni kama chura. Chur haeleweki amekaa, amesimaa au amelala. Wanawake wanapenda sana wanaume makatili. Ukiwa soft huwezi kuwaweza. Ndio maana single mother wamekua wengi. Huwa wanakutana na wanume makatili ndio wanawazimikia ili hali hao masela wanapita tu. Akisha mpachika mimba mwana yuleee, anabaki analea mtoto. Mtoto akikua anatafuta mwanaume mwingine katili. Sisi wapole yenye sura za huruma wanawake huwa hawaturlewi kabisa.Wakuu kwa kweli imefika mahali sasa nashawishika kujibu hovyo...
Kwa jina anitwa X, ni kabila la watu wa pwani, na kama mnavyojua kwenye mapenzi kwa hawa watu unaweza kuhonga hata nyumba. Mimi niliamua awe mchepuko, hivyo tukawa hatugandani, ila akiitaji msaada wowote nilikua nampa. Huyu mwanamke ni single mother na mtoto wake yupo std III, yanii ilikua hata birthday cake ya mwanawe nilikua naombwa mimi.
Sasa tatizo limekuja amebeba mimba sijui ya nani huko, halafu jamaa ameshaingia mitini, ananifata mnyonge wake... Kwa kuwa na mimi sasa hivi anipi mchezo nimeamua kumkaushia... Ila Anasumbua sanaaa....
Je nimfanyeje huyu...? Maana ameamua kushika mimba, amekatisha utamu, afu sasa anasumbua
Msaada mkuu jinsi ya kuwagundua mm sifahamuAkale alikopeleka mbunye,tena mwambie BANGLADESH,,tatizo huuzurii vikao,tunafundisha namna yakuwagundua madanga kila wiki
Mosi ni Mtu wa anasa yaani anapenda vitu ambavyo yeye mwenyewe hawezi ku afford.Msaada mkuu jinsi ya kuwagundua mm sifahamu